Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,677
Tena hawa wakioana watazaa genius![emoji23] unamtukana Mume ujue
Tena hawa wakioana watazaa genius![emoji23] unamtukana Mume ujue
mwirho wa "kujikomboa" kwao hua wanagundua kumbe wanaume sio tatizo lao, tatizo ni fikra zao wanazomezeshwa na jamii ya wanawake waliojiharibia maisha.Mwanzo wakati wa ku- struggle huwa hawajui kama wanapotea ila baada ya kupata walichopata ndipo hugundua umuhimu wa wanaume kwenye maisha yao.
Kuna wawili ambao nawafahamu vizuri, wamefanikiwa kimaisha vizuri saana kabisa ila wanalilia kupata waume.
Kwanini uogope kusimangwa ?! Yani mwanaume akupende mpaka kukuoa afu aje akusimange, HAPANA wanaume hatuko hvyo na hata wewe unalijua hilo, na kale kamsemo kenu "kama kusoma na mimi nimesoma" hua kamatokana na nini kama sio kiburi, kutokua na heshima na kutaka kujimwambafai.wanaume mmetufikiria vibaya kwa kweli......tunahangaika ili tuzisaidie familia zetu. si kila kitu tuwaombe nyie tunaogopa kusimangwa. sio kwamba eti tuwaona makatili ni katika harakati za kusaidiana kimajukumu. kipindi unaiendesha familia, mwanamke nae awe na kauwezo hata kakusaidia kwao. kikubwa ni heshima, kila mtu aplay katika nafasi yake. kitu tunachokipigania ni kule kugandamizwa. tunataka haki ya kusoma, kufanyakazi na kadhalika ili siku hata mwanaume akiwa hayupo basi tuweze kuziendesha familia, sio mwanaume anafariki, watoto kama walikuwa wanasoma international wanarudi kayumba, haihusu........'
Hawajui kuwa sisi ndo tunachagua yupi wa kumuoaWanakamsemo kao kama kusoma na mimi nimesoma
Mwanzo wakati wa ku- struggle huwa hawajui kama wanapotea ila baada ya kupata walichopata ndipo hugundua umuhimu wa wanaume kwenye maisha yao.
Kuna wawili ambao nawafahamu vizuri, wamefanikiwa kimaisha vizuri saana kabisa ila wanalilia kupata waume.
....... ili siku hata mwanaume akiwa hayupo basi tuweze kuziendesha familia, sio mwanaume anafariki, watoto kama walikuwa wanasoma international wanarudi kayumba, haihusu........'
Hawa wanawake wapuuzi sana..kuna mmoja yuko over 30 akanambia nimuoe nikamwambia siwez kukuoa hata nikipewa bure bila mahari na wazazi wako,kanuna akasema bas nimtaftie hata mtu...yaan anaitamani ndoa leo kesho,nahisi hata mtu akisema hana mahari anaweza hata kujilpia mwenyewe.Haaaha haa wasijimwambafai hapa kumbe wanalala peke yao kitanda kikubwa.
Kiasi chake umenishawishi!wanaume mmetufikiria vibaya kwa kweli......tunahangaika ili tuzisaidie familia zetu. si kila kitu tuwaombe nyie tunaogopa kusimangwa. sio kwamba eti tuwaona makatili ni katika harakati za kusaidiana kimajukumu. kipindi unaiendesha familia, mwanamke nae awe na kauwezo hata kakusaidia kwao. kikubwa ni heshima, kila mtu aplay katika nafasi yake. kitu tunachokipigania ni kule kugandamizwa. tunataka haki ya kusoma, kufanyakazi na kadhalika ili siku hata mwanaume akiwa hayupo basi tuweze kuziendesha familia, sio mwanaume anafariki, watoto kama walikuwa wanasoma international wanarudi kayumba, haihusu........'