Naomba ushauri, kwa ufaulu huu atapata chuo cha uuguzi cha serikali?

Mvumilivu2

Senior Member
Jul 31, 2014
107
47
Habar wanajf,
Nina Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana huko mkoani na akapata division 3 ya 25

Dogo akapangiwa ualimu lakini yeye ndoto yake ni kusoma mambo ya afya so ualimu akagoma kwenda now kaja Dar.

Je kwa ufaulu huu wa civ D Hist D Geo D Kisw C Eng C Phy F Chem D Bio C Math F anaweza kupata Chuo cha government akasoma nursing?(nimesema government kwa sababu ya uwezo ) au tukisema aendelee advance akasome mchepuo gani ambao utamsaidia baadae kutimiza ndoto?

Naomben mnipe ushauri nampenda sana mdogo wangu natamani siku afike mbali japo na sisi tuwe na wasomi katika ukoo wetu usiokwenda shule
Natanguliza shukrani
 
Habar wana jf
nina Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana huko mkoani na akapata division 3 ya 25

dogo akapangiwa ualimu lakini yeye ndoto yake ni kusoma mambo ya afya so ualimu akagoma kwenda now kaja dar ,
je kwa ufaulu huu wa civ D Hist D Geo D Kisw C Eng C Phy F Chem D Bio C Math F anaweza kupata Chuo cha government akasoma nursing?(nimesema government kwa sababu ya uwezo ) au tukisema aendelee advance Aka SOME mchepuo gani ambao utamsaidia baadae kutimiza ndoto? naomben mnipe ushaur nampenda sana mdogo wangu nataman siku afike mbali japo na sis tuwe na wasomi katika ukoo wetu usiokwenda shule
natanguliza shukran
Kwakweli hapo kwa nursing kwa exprience yangu mm nahisi ningumu sabu ana F physics bora angekuwa hata na D ya phys hapo angeanza hata na certificate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nursing anadahiliwa kwa ngazi ya certificate kwa miaka 2 akifaulu gpa ya 2.7 anaenda dip mwaka 1 na badae degree, hiyo ni kutokana na guidebook ya mwaka huu
 
Chuo cha government n vgum kupata....Coz izo F2 (math & phys)
A level napo apati iwe private au government coz combination azija balance
Lakini anaweza soma advance Kama Private candidate

Pia chuo cha afya anapata ila private (Kama yupo dar mwambie awasiliane na city college of health ataweza soma cheti cha ufamasia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ninyi mbona mnapotosha kiasi umma kiasi hiki NACTE guide book ya mwaka huu imeweka wazi vigezo watanzania hata kusoma tu hatujui ili mtu asome certificate ya nursing lazima awe na C chemistry C bios na D physics ila watu mnaongea kwa mazoea ya mwaka jana tu Tanzania ya Vi wonder sio lazima mtu ujibu kitu kama hujui pita kule mtu anauliza akitegemea mtu sahihi mwenye jibu sahihi amjibu na kama huna sio lazima uandike acha waliofuatilia mwaka huu waandike na wajibu SIO tu chuo cha serikali hata private hawezi pata hana vigezo vya kusoma nursing wala kozi yoyote ya afya isipokua tu kozi ya community health ya mwaka mmoja huyo aende advance
 
Back
Top Bottom