Mrejesho: Mboga yangu ya jana

Mrejesho: Mboga yangu ya jana

Hongera kwa kupata mwanamke bora. Mkuu kama umemuelewa huyo mwanamke oa. Mimi namuona kama ni mwanamke wa kipekee sana...
 
Hata wenye vibamia Mangi mnajusifu mnazo Kubwa,as long mnasimamisha na kukojoa Huku mmesimama.
You are just a liability...
Maserati ww hujashughulikiwa vizuri, ukifinywa vizuri utalikumbuka jino la kwanza kung'oka ulilitupa wapi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Hizo liability ndio ulizo zoea wenzio huku tunawajengea na nyumba. Endelea kutumika tu.
 
Liability unae hesabu mpaka ela demu kakulia sh ngapi??? Haiwezi kuwa unaelewa au unajielewa
 
Wengi mmeniomba sana tena sana kwamba nilete mrejesho tukio liliendaje, kuhusu binti aliyekula laki nne yangu ndani ya mwezi bila kumega. Na mm bila hiana ninawapa MAAJABU aliyokuja nayo.

Baada ya kufika tu kiumbe yule alifika kwa table na kama gentleman nikampokea mixer mate kidogo(ingawa nilinyonya kwa hasira nusu nimkaushe maji mwilini). Baada ya kinywaj na kuagiza msos sababu eneo lile lilikuwa na band pale alisimama kwenda kucheza. Wakati huo naendelea kupewa ushauri na ndugu zangu(JF) namna ya kumu assasinate huyu kiumbe.

Chakula kikafika tukala huku akijiongelesha ongelesha tu mm moyoni nimejaaa hasira nikiwaza pesa zangu. Ktk stori kwny hali ya kushangaza alianza kunieleza vitu ambavyo sikufikir kuvisikia kwake?akaanza na historia za macharii waliomtenda, na kusema ANANIPENDA SANA MM na kwamba NI MWANAUME WA KIPEKEE MAISHANI MWAKE. Wakati akieleza hayo mara akaniambia kuwa kwakuwa sijawai kufika kwake siku iyo angependa tukalale kwake, OMG moyo ukalipuka!!! Kikubwa mtoto akasema gharama za vyakula na vinywaj atalipia yeye. Kimkojo cha furaha kidogo kitoke.

Kwa maongezi yake yale nikajikuta moyo wng unamuelewa sana huyu mwanamke, na stori zake mpaka analia nikajikuta nalia nae na mm. Kwa kweli kwa hasira za kuzungushwa na kupigwa virungu vya tarakimu 5 ziliisha kabisa. Tulimaliza kula tukacheza muziki kisha tukamaliza payment(akalipa yeye kama 210000 maana alinirudishia na ya taxi. Sikujivunga nikachukua na kuweka mfukoni apo nikapiga hesabu imebaki namdai kama 190,000.

Basi tukachukua ndinga pale kuondoka kama saa nane kasoro mpakaa kwake akampa wa taxi kama 30000 ivi. Yaani apo kidume sielewi elewi. Mara ndani mzee, mara bafuni mtoto maasharah habibu raalata. Wazee kuna viumbe vilvyobarikiwa.

Mambo yakaanzia kule mpaka kitandani. Yaani nilikuwa nimetulia kiumbe anawajibika. Acha kabisa wazee mengine tukiandika tutapigwa ban!!.

Asubuhi kani suprise huyu mtoto zaid baada kutoa nguo mpya tshirt, jeans, boxer na rabba mpya adidas new, yaani nikaambiwa hizo za jana acha nizifue. Hela yangu imerudi yote na bonus juuuu.

Sasa hapa nipo kwenye gari narudi geto maana nina michongo ya kipesa leo nafikiria alichoniambia jana yule mtoto ANATAKA AHAMIE KWANGU AU MIMI NIHAMIE KWAKE NA KWAMBA ANATAKA JUMAPILI NIKAMUONE MAMA YAKE MKUBWA ALIYEPO MJINI APA. MTOTO ANATAKA JIBU LEO

wakuu nishaurini asee maana naona kama nauziwa tango pori au ni ndoto au mazingaombwe fulani, vipi mtoto ahamie geto na nikajitambulishe jumapili iyo???
Saint Ivuga, Babu aspirin, Bujibuji, na wakongwe wengine, mnamruhusije mtoto mdogo kutughiribu kiasi hiki?

Anatoa mrejesho kwenye mada hewa? Alitoa jambo gani kabla ya mrejesho? Kwenye akaunt yake ya jana tu, anaonekana ameachia uzi mmoja.

Sasa huo mrejesho umetokana na suala lipi?

Screenshot_2017-08-12-16-52-23.png

Screenshot_2017-08-12-16-52-34.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saint Ivuga, Babu aspirin, Bujibuji, na wakongwe wengine, mnamruhusije mtoto mdogo kutughiribu kiasi hiki?

Anatoa mrejesho kwenye mada hewa? Alitoa jambo gani kabla ya mrejesho? Kwenye akaunt yake ya jana tu, anaonekana ameachia uzi mmoja.

Sasa huo mrejesho umetokana na suala lipi?

View attachment 564030

View attachment 564031

Sent using Jamii Forums mobile app
Muhenga kwenye ubora wake na TEKNO[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Liability unae hesabu mpaka ela demu kakulia sh ngapi??? Haiwezi kuwa unaelewa au unajielewa
Muda utakapofika utaelewa, karibu PM nikufikishe unapotaka ..hao si wamekuacha ununio[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Muda utakapofika utaelewa, karibu PM nikufikishe unapotaka ..hao si wamekuacha ununio[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kumbe shida yako pm??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu ipe uhai kwanza hii ID
 
Back
Top Bottom