Recent content by muzi

  1. muzi

    JamiiForums Tanzania KERO Bus la BM mnazingua sana. Parcel zinapotea na wateja wanaachwa vituoni

    BM ni mojawapo ya mabasi ambayo imewekeza na kuingia kwenye usafiri na usafirishaji wa parcel kwa nguvu sana. Wana mabasi mengi sana route ya DAR-ARUSHA. Wasafiri wa kanda hizo wanapenda luxury sana, ukipeleka bus lako ngwarngwara huwezi pata abiria. Wao kulipa TZS 87,000 kwa 2 X 1 seat sio...
  2. muzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ambazo hufanya wanandoa kunyimana tendo la ndoa kwa makusudi, changamoto zake na madhara yake

    SABABU 10 AMBAZO HUFANYA WANANDOA KUNYIMANA TENDO LA NDOA KWA MAKUSUDI, CHANGAMOTO ZAKE NA MADHARA YAKE Katika maisha ya ndoa, tendo la ndoa sio tu suala la mwili bali pia ni daraja la ukaribu wa kihisia, kuaminiana, na kuimarisha upendo kati ya wanandoa. Pale ambapo mmoja wa wanandoa anaanza...
  3. muzi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Msanii kuimba kwenye kampeni za CCM ni ajira yake

    Tushakubaliana kila mtu afanye kazi yake, sisi wananchi tulishakubali kufanya yetu, mbona kelele nyingi guys.............guys..............
  4. muzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume usije thubutu kutembea na mke wa mtu

    AKILI ZA KUAMBIWA HAPA WEKA NA CHANGANYA NA ZA KWAKO otherwise utasabisha mambo ya MO29
  5. muzi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

    Tulishakubaliana 29 october ni siku ya maandamano ya amani ya kudai katiba mpya. Hakuna uchaguzi ni wastage of time, kazi ni NRNE kwa kwenda mbele
  6. muzi

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Edgar Lungu na uhaini wa Tundu Lissu ni funzo kwa Rais Samia

    WE NI MAVI. It is just matter of TIME, Tuendelee kuomba uzima wa AFYA, Malipo ni hapa hapa
  7. muzi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Hapa utapata maushauri kibao lakini final decision itakuwa mikononi mwako. Kwa upande wangu kwenda kuanza kazi serikali ukapata hayo ma network wanayosema hapa itakuchukua not less than 3-4 years. Ukienda serikalini na hayo MaTSDG ya mishahara utakesha na kupiga kwata muda mrefu. Utakuwa desk...
  8. muzi

    JamiiForums Tanzania NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Yaani bora utoe ela kwa ATM ya bank nyingine, makato kwa wakala watakutoa mkojo mpaka mavi
  9. muzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

    ........Breaking News................... Makamo wa RAIS wa KENYA muheshimiwa RIGATHI GACHAGUA, Almaarufu wenyewe humuita NAIBU RAIS ameondolewa rasmi madarakani, GACHAGUA ameondolewa madarakani baada ya bunge la SENETI, Kumkuta na hatia kama alivyo kutwa na hatia na BUNG LA KITAIFA...
  10. muzi

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto za kwenda kuishi Marekani Green Card ya marekani wako na wewe

    Yaani kila kazi siku hizi madalali kibao
  11. muzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo (7) wasiyotaka Wanamke wakati wa tendo

    Mwanaume kumaliza sex na kuondoka. Unapomaliza kusex na kuinuka unaondoka anaumia, anahisi kukatiliwa vibaya kihisia, anaweza asije tena, mwanamke anahitaji angalau dk 20 za kuongea nawe, wako hivyo! Usifike kitandani na kuanza sex. Mwanamke anahitaji maongezi kiasi fulani ili akili yake iwe...
  12. muzi

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufungua account iliyozuiwa kupost Telegram

    Nimekuwa nikitumia account yangu ya Telegram lakini hivi karibuni wamenizuia kupost kwa groups lakini kutuma kwa individucal ambao nime save namba zao hakuna shida. Tatizo ni kwa groups, ukitaka ku-post chochote inakuja SMS inasema sorry, you are currently restricted from posting in this group...
  13. muzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetangaza ndoa ila nimekataliwa ghafla, bora niwe baharia

    Muzee hakuna mkate mgumu kwa chai maana yake tafuta ela, ukiwa na ukwasi mbona hata kesho unaoa mzee. TAFUTA ELA ZA KUTOSHA
  14. muzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Babu waarabu wanakulaga kwao hapo umejichanganya, unwaeza kuata hao watoto umezaa naye si wakwako bwana mzee. Waswahili kibao wenye wake wa kiarabuu wanachezewa rafu kibao, wanazaa na wenye ASILI yao. Chukua hiyo mali mpya lea hao watoto wako ila jiandae na kesi na fitina na kuendewa kwa waganga...
  15. muzi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    Una kipaji cha kutengeneza story kama Eric Shigongo, jitahidi utafika mbali
Back
Top Bottom