Kwa mwanaume mwenye akili timamu yaani afya ya akili ipo sawa, ukifikiria maumivu atayoyapata mwanaume mwenzio kuwa kugundua umetembea na mke wake , asikwambie mtu hayo maumivu huwa ni makali sanaaaa hayasimuliki wala kuelezeka, madhara utayosababisha kwenye familia ya mwenzako utasababisha mauaji, uchumi wa familia kuyumba au kupoteza kabisa, kutengana watoto kupoteza dila ya maisha kiufupi utabomoa nyumba ya mwenzako kwenye kila idara, LAANA YAKE ITAKUTAFUNA WEWE NA VIZAZI VYAKO VYOTE KAMA SIO LEO HATA KESHO, kijana mwenzangu kimbia[emoji125] usigeuke nyuma mke wa mtu hana sababu au utetezi wowote wa kukufanya utembee naye, mwisho kabisa vaa viatu vya maumivu atayoyapata mwanaume mwenzio, kijana mwenzangu kwa uchungu kabisa nakwambia yale maumivu yanaumiza sana,