Dalili 10 kwamba unapotea taratibu bila kugundua

Dalili 10 kwamba unapotea taratibu bila kugundua

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,048
Reaction score
1,479
1. Unaanza kuwafurahisha watu kuliko kumtii Mungu.

2. Unatumia muda mwingi kwenye simu kuliko kwenye maombi au kujijenga.

3. Unaanza kuona dhambi kuwa jambo la kawaida.

4. Unapoteza amani kwa sababu ya kulinganisha maisha yako na ya wengine.

5. Unachoka kufanya mema, lakini huchoki kufanya yasiyo na faida.

6. Unawasikiliza watu zaidi kuliko unavyolisikiliza Neno la Mungu.

7. Unajua unachopaswa kufanya, lakini unaendelea kukiahirisha.

8. Unajisikia mwenye shughuli nyingi, lakini mwisho wa siku hakuna maendeleo ya kweli.

9. Unaomba Mungu akubariki, lakini hupendi kubadilika.

10. Unaanza kuishi bila kujiuliza swali hili: "Je, ninachokifanya leo kinanisogeza karibu na kusudi langu au
 
Iende mbeeeele Injilieeeee...
Iende mbeeeele...
Iende mbeeeele injili ya yesu...
Iende mbeeeele...
 
Ingekuwa hivyo waloke wangekuwa mabilionea kwa maana kila dakika wanapiga maombi na pambio.
 
Back
Top Bottom