Recent content by muvinyeusi

  1. muvinyeusi

    Polepole: Nape ataadhibiwa na CCM kwa kauli ya kusema alikitoa chama shimoni uchaguzi wa 2015

    Nape alikuwa hana nguvu sana ndani ya chama mkapa kikwete na mwinyi hao ndio waliokuwa majemedari wa chama cha mapinduzi
  2. muvinyeusi

    Sam Mahela kumwambia Hashim Rungwe anaropoka, ni kumkosea adabu

    Hakuna ubaya kwani kuropoka maana yake kuongea pointless bila kufikili
  3. muvinyeusi

    Uteuzi wa Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji waivuruga UVCCM

    Msomi kasoma nn bhana elim ya form four ndo msom kwamwenendo huu tutaua chama hata mm nitahama
  4. muvinyeusi

    Uteuzi wa Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji waivuruga UVCCM

    Kaimu karibu mkuu uhamasishaji na ubunifu uvccm taifa
  5. muvinyeusi

    Majaliwa: Tuna mitambo 'hatari', tukipita nje ya nyumba tutajua kama ndani kuna dawa za kulevya

    Sasa kama wanakaa na raia tutwajuaje ili kuisaidia polis waje kuwakamata, na kiinterejensia hii kauli anapingana na mfumo au mbinu aliyokuwa anaifanya makonda mkuu wa mkoa hivyo kumpinga RC makonda yatamkuta kama ya nape
  6. muvinyeusi

    Uteuzi wa Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji waivuruga UVCCM

    Joketi hana sifa za cheo alichopewa uvccm
  7. muvinyeusi

    Nahitaji rafiki wa kike

    Sijawah ona mwenye njaa anachagua chakula
  8. muvinyeusi

    Prof. Mkumbo asaini mkataba wa kupeleka maji wilaya za Tabora

    Wangeanza na dodoma kule ni jangw kabxa yani
  9. muvinyeusi

    Chenja za JKT zilituhamasisha sana tusitoroke,tukumbushane chenja!

    Ndani ya 832 kj bravo coy ya demo chenja niliyokuwa naipenda sana ni ile la molari hamba morali we hamba moralii hammba morali we hammba siyela hamba siyela we hamba, hamba na manyekunyeku. Tupo na afande the best na zero na afande alimasi
  10. muvinyeusi

    X wangu amemuita mwanae jina langu

    Hahahahhh ni nzuri au we hutaki
  11. muvinyeusi

    Wakenya zaidi ya 60% wanazo simu za kisasa (smartphones)

    Ila hawatupit tanzania sisi tuna samsung S8 plus
  12. muvinyeusi

    Bongo movie waanza kulipa deni kwa Mkuu wa Mkoa

    Ila xxx cidi wasikataze halo tamu zile
  13. muvinyeusi

    Single mothers wanavyokera na picha za watoto wao mitandaoni

    Dah! Nabaridi hii umenisisimua mb.. o yangu bala
Back
Top Bottom