Chenja za JKT zilituhamasisha sana tusitoroke,tukumbushane chenja!

832 Kj opareshen muungano d coy ya morally 2014/2015(walimu) . Chenja nililokuwa nalikubali sana ni malela malela . ila sitasahau siku nilipokamatwa na mp ndomba nikiwa naenda kununua mihigo kijijini( kwa dosa). Hatar sana
 
Nyie mujibu shida tupuu

Na yawezekana ndo mlikuwa wagonjwa wa kudumu
 
  • Thanks
Reactions: wax
Wale wa 825KJ Mtabila moja hiyo danger coy ya morali tukiwa na afande mzilai a.k.a the sniper , chenja yangu ya mda wote ni " washkaj mbn mnalemba, atulembi cc tunangoja ageuke ; unashangaa busha ndani ya modo mambo kidigitali..........! Dah hataree sana iyo
 
haaahaaa nimekumbuka zabibu
 
Back
Top Bottom