Ha ha ha haDeogratius Kisandu kaanza kupata wadau
Kamwita jina lako kwani ww ndio wa kwanza kuitwa jina hilo duniani?, acha ulimbukeni, kamwita jina hilo kama ambavyo wazazi wako walikuita jina hilo bila kujali ni nani aliitwa kabla yako. Vinginevyo itakuwa kila anayeita mwanae jina kama lako utahoji mara x wangu, mara jirani yangu n.khabari wakuu?
kuna kitu kimenishangaza,kuna jitu tuliachana nalo,nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu.
hivi ni halali kweli hata kama sina hati Miliki ya hilo jina?
Kachukue jina lako uliweke vizuuuuri ili hata hilo jitu ulilonalo sasa hivi mkiachana lisiibe
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
perfect answerEti kuna jitu tuliachana nalo
Aiseeee!!najaribu kuwaza hilo jitu uliloachanaga nalo linafananaje eti!!