when you guys look at these 3 Kenya, SA and Nijja...these are the bigt boys and i mean in sub saharan africa (in other words Africa proper wengine ni wa arabu) we play at the highest level!
like a lady being wooed for marriage so does Tz behave shida ni kwamba there are so many other ladies ready for this marriage! and by the way why always backbite your brothers when you visit Obama? are you the local kinara? mmmmm...me thinks that somebody has an inferiority complex!
Nime kuwa na urafiki na wanaume wa TZ , Nigeria na Kenya na kwa uzoefu yao nimepata kuwa ni walaghai, waongo na wenye kiburi! Hawa watakuhaidi mbingu lakini ifikapo matendo wanapotea
murutongore........hizi zao nin tabia za msichana mwenye hajavunja ungo!...SA watawamaliza (SA makes all economic decisions kwa SADC!) China imeingia and i hear wanakuja with everything (as investors they are supposed to atleast boost local economy) hata mpishi wa chai ni mchina! aaaargh! now...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.