Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 854
Sio sawa usithubutu kuhamia kwake..Na ukifanya hivo ujue ndoa ndo bye bye!!Kutakuwa na umuhimu gani wa yeye kukuoa kama mnaishi kama mke na mume!!
sema harusi bye bye
kwa nini unachanganya ndoa na harusi?