Hofu kubwa ya vita hii ni kutumika siraha za maangamizi Nuclear ,wataingiaje kwa mapank maana hakuna wasaliti wanaotoa info kama ilivyokuwa Libya na Sylia tusidanganyane hakuna commando atakaye survive
Kwenye kona tu kuelekea mtongani kunduchi beach pale unapoacha bagamoyo load kuna baa kushoto kituo daladala nimekaa pale mara kadhaa vjana wanauziana bangi live
Engine ya 3.0L 1Mz VVTI utumiaji wa mafuta inategemea mazingira ya barabara ,uzito wa mzigo au abiria na namna ya uendeshaji .kwa hapa Dar si rahisi kuzidi speed 80 .unacheza na rpm isiyozidi 2000 yaani speed ya 60-80 mafuta inatumia 8-9Km/1L safarini ni 10-13Km/1L
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.