Natafuta Namba ya kituo cha polisi Kawe

Natafuta Namba ya kituo cha polisi Kawe

Naombeni msaada wa namba za polisi kawe kuna jirani mkorofi sana akirudi usiku wa manane anawasha mziki kwenye gari kwa nguvu saa kumi na mbili ndo anaingia ndani kwake kulala.Watu hatulali vizuri kumbuka kumi na mbili hyo ndo watu tunaenda kazini hoi.
Unakaa Kawe mtaa gani ili iwe rahisi kuwaelekeza police waje hapo!?
 
Isije ikawa ni yule mchungaji maarufu aliye rudi mtaani asubuhi na kuanza kuongea ilhali hajavaa viatu. Nasikia nae ni mkazi wa maeneo hayo. Ukimuangalia huyo mtu ni mlevu wa bapa au beer ? Ana lafudhi ya nyanda za juu south ?
 
huku mbezi beach walevi tupu wasumbufu yaani
 
Naombeni msaada wa namba za polisi kawe kuna jirani mkorofi sana akirudi usiku wa manane anawasha mziki kwenye gari kwa nguvu saa kumi na mbili ndo anaingia ndani kwake kulala.Watu hatulali vizuri kumbuka kumi na mbili hyo ndo watu tunaenda kazini hoi.
Nenda Serikali za mitaa,ikishindikana nenda kamshtaki baraza la kata
 
Mkuu ulikuwa umevurugwa na Wewe ukaamua uwavuruge.

Siku akija hajalewa na wewe fungulia. Nakumbuka kipindi nafanya kazi za usiu kunajirani alikuwa anafungulia muziko to asubuhi mpaka jion. Nikirudi kazini ata nikimuomba apunguze ananijibu kama sina uwezo wa kununua muziki nisiwanyanyase. Nikasema tu asante nikawa nikotoka night naenda kulala gheto kwa mshikaji mtaa wa tatu. Nilipopata mshahara nikaenda nunua home theater kitu watt 1000. Nikaweka mzigo wa kutosha kwenye flash disk. Nikafungulia muziki mpaka mwisho nkasepa zangu job. Kibaya circuit breaker na main switch viko chumbani. Keshoyake waliomba kikao manina
 
Back
Top Bottom