M Mnyella Member Joined Aug 8, 2012 Posts 43 Reaction score 6 Sep 22, 2015 #1 Mimi pia ni mwanaume mtu mzima natafuta mke nae awe mtu mzima wa kuanzia miaka 45 na kuendelea
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,887 Reaction score 27,528 Sep 22, 2015 #2 Jitokezeni fursa hiyo hakuna mkosi,mke anatafutwa kisasa zaidi.
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,467 Reaction score 9,007 Sep 24, 2015 #3 Kila lakheri mheshimiwa
M mussadigital Member Joined Oct 22, 2011 Posts 47 Reaction score 25 Sep 24, 2015 #4 Duh...atakuwa kachoka tena kachakaa
K kamagetac JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 2,479 Reaction score 644 Sep 26, 2015 #5 Bahati hii!!!!!
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,252 Reaction score 3,073 Sep 26, 2015 #6 Hii ni shida sasa
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 8,227 Reaction score 14,194 Sep 26, 2015 #7 Why shida na mtu ameeleza haja ya moyo wake !
Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,662 Sep 26, 2015 #8 Si bure unataka kurithi mali zake baada ya ku R.I.P
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,100 Sep 26, 2015 #9 Haa haa haa kaaz kweli Kweli
lwa kalolo Senior Member Joined Nov 24, 2014 Posts 182 Reaction score 123 Sep 26, 2015 #10 Kama unatafuta mke age 45 wewe una umri gani! Bila shaka utakuwa babu kabisa
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Sep 28, 2015 #11 sisi wenye miaka 30 hututaki mbona nasi ni watu wazzima ? Mnyella said: Mimi pia ni mwanaume mtu mzima natafuta mke nae awe mtu mzima wa kuanzia miaka 45 na kuendelea Click to expand...
sisi wenye miaka 30 hututaki mbona nasi ni watu wazzima ? Mnyella said: Mimi pia ni mwanaume mtu mzima natafuta mke nae awe mtu mzima wa kuanzia miaka 45 na kuendelea Click to expand...