Recent content by musodan

  1. musodan

    JamiiForums Tanzania Leo 4 October Mch. Mtikila ametimiza miaka Nane tangu atwaliwe

    shujaa na mtanganyika halisi
  2. musodan

    JamiiForums Tanzania Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

    Kuna uwezekano kweli walikata kupiliza, na kuna watu nilikuta pale wanaidai loanboard, nenda kahakiki, kama walikukata zaidi wanarudisha
  3. musodan

    JamiiForums Tanzania Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

    Mwezi uliopita kuna mtu alinambia kuwa baada ya Rais samia suluhu kuingia madarakani kuna retaining fees iliondolewa, nilienda kuhakiki deni langu ambalo lilikuwa linasoma mil 4.4, ila statement waliyonipa ilionyesha nadaiwa mil 1.4, nikawauliza mbona kunatofauti wakaniambia kabla ya mwezi wa...
  4. musodan

    JamiiForums Tanzania Antony Mtaka aambiwe kwamba sera ya elimu ni ya kitaifa na siyo mkoa kwa mkoa

    Umeeleza vizuri utekelezaji wa mtaala katika local level,lakini hautakiwi kukiuka sera yenyewe,kuwarundika watoto 1000 pamoja ndivyo mtaala unasema hivyo!? Unajua shule ya boarding kwa mujibu wa mtaala wanafunzi wanatakiwa wasizidi wangapi!? Usalama wao ukoje( moto,magonjwa,ulinzi) idadi ya...
  5. musodan

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

    Kodi ni ya jengo sio nyumba, kama nyumba ina majengo 10 na kila jengo Lina Mira yake atalipa mwenye through mpangaji wake anaelipa Kodi....over
  6. musodan

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Nasumbuliwa na kende moja kuvimba saizi ya yai la kuku,haliumi,naomba ushauri
  7. musodan

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habari Dr,naomba nisaidie,ninatatizo la kende la kulia kuvimba kwa sasa limekuwa kubwa size ya yai la kuku,nitumie sawa gani lirudi katika hali yake ya kawaida..Cha ajabu haliumi
  8. musodan

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani ulikuvusha au kukupitisha ulipokuwa kwenye majira fulani magumu?

    dah binafsi kuna kipindi nipo form five tanga nilipewa suspension tanga na sikuwa na nauli ya kurudi home pia mzee alikuwa mtata sana,wakati nakatiza mitaa ya chumbageni kwa miguu toka majani mapana ilipokuwa shule nayosoma Galanos nikajibanza kwenye ka saloon kamoja kakawa kapiga wimbo wa...
  9. musodan

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Kwa muda mrefu nimefatilia huu mjadala na kuona comments mbalimbali ,a wadau hapa.nikagundua yafuatayo. 1.hapo ofisini kinacho sumbua ni struggle for power .nyagabona,majura wapo against glory na johari hilo halina ubishi 2.aliyeleta post hii ni kati ya hao wawili coz wapo well informed on what...
  10. musodan

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Kwani huyo majura kaja lini magu!?
  11. musodan

    JamiiForums Tanzania Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

    Hsssas
  12. musodan

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hii simu yangu

    umejuaje kama ni tecno
  13. musodan

    JamiiForums Tanzania Raha na utamu wa kula samaki aina ya Pweza iko wapi?

    Hahaaaa hapo kwenye vumbi aiseee hii kitu maridadi sana
  14. musodan

    JamiiForums Tanzania Mapokeo ya wazazi tamko la Rais JPM kwamba hakuna kuchangia chochote kwenye Elimu

    Tatizo makomeo akili ndogo.full kukurupuka
  15. musodan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siamini tena wanawake wapole

    Hi love kabisa sio
Back
Top Bottom