Msaada wa hii simu yangu

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Nikitumia simu yangu kuingia JF kabla sija log in nakuta tayari imeshaniandikia jina ni kujaza passwad tuu nashindwa ku off hili tatizo maana wasiwasi wangu kama akashika simu yangu mtu mwingine tayari ataona ussaname yangu ninayotumia hapa JF.

Wataalam naombeni hili tatizo nalisove vipi.
Screenshot_2018-06-02-15-35-32.jpg
 
nilishajiapiza kamwe sitokuja kutumia TECNO maishani mwangu.
 
hapo nenda kwenye hio keyboard yako ka clean data maana hio ishakuwa saved kwenye dictionary ya hio keyboard yako
 
nilishajiapiza kamwe sitokuja kutumia TECNO maishani mwangu.
sio TECNO tu dada yangu anayo Sony nayo imesave data ya tigo pesa yaani ukishaingiza *150*01# ukachagua toa au tuma password zinakuja zenyewe tu ukifika sehemu ya kuingiza password
 
kwanini usitumie browser? App ya Jf sionagi kama inamaana ukipigwa bani huoni utaachiwa lini like zenyewe unaona 5 tu na mengene mengi
 
ndo hivyo mkuu simu hizi zimewekewa kumbukumbu kama binadamu unachokifanya mara Kwa mara ndo huwa kinajurudia rudia kama ushazoea kutukana watu kwa text ukianza tu ile herufi ya kwanza pale chini utaona neno zima limekuja
 
nilishajiapiza kamwe sitokuja kutumia TECNO maishani mwangu.
Mhhh huo mwandiko hujauona?? Sa hizi unatumia tecno unasema hutumii, anyway kama hutumii wewe wenzio wanatumia kwan kila mbuzi hula uref wa kamba yake
 
Unamaanisha niingie setting upande wa keybord au nimekuelewa vibaya
nenda setting >>>app>>> tafuta keyboard unayotumia kama ni Google keyboard ichague alafu ibonyeze utaona maneno haya juu disable na lingine nazani ni force to sport ww fata neno lililoandikwa clear check hapo utakuwa umefuta kumbukumbu ikizingua bado nenda futa data zote
 
Nenda kwenye browser yako watakuuliza kwamba umekubaliana na masharti na maelekezo ya JF harafu uta tick na ku apply
 
nenda setting >>>app>>> tafuta keyboard unayotumia kama ni Google keyboard ichague alafu ibonyeze utaona maneno haya juu disable na lingine nazani ni force to sport ww fata neno lililoandikwa clear check hapo utakuwa umefuta kumbukumbu ikizingua bado nenda futa data zote
Nimesha fanya hivyo lakini bado bila bila
 
Back
Top Bottom