Mapokeo ya wazazi tamko la Rais JPM kwamba hakuna kuchangia chochote kwenye Elimu

Habari waungwana ,mm ni mkuu shule ya msingi hapa mkoani Tanga jana baruaimetoka kwa mkurugenzi inayonitaka kuandika jina na kula kiapo na kusaini kama ntatoza mchango yoyote ni fukuzwe kazi.Barua imekataza kutoza mchango yote kama mchango wa mlinzi,mitihani ya majaribio,ujenzi wa miundo mbinh,utengenezaji wa samani,ujenzi wa uzio,mahafali ya wanafunzi,ununuzi wa T shirt,nembo ya uniform, ziara za kitaaluma,uandikishaji,picha za kadi za maendeleo ya wanafunzi.

Ukweli ni mzuri kuliko kitu chochote elim tunaimaliza rasm,kwa kuizika kabisa ,nasikitika wazazi wanashangilia kana kwamba hela tulikuwa tunazila waalim ,wazazi wengne hata jana wamekuja kutupa moyo kuwa tusikate tamaa watajaribu kwenda kwa mkurugenzi kuongea nae,ila mm nimewaambia walim wangu wawe wanakuja na kufundisha tu.

Hata watoto wachekechea walikuwa wanakunywa uji nimesema wasome hivyo hivyo ,kwahiyo kauli ya Raisi ni mbaya katika msitakabali wa elim,naamini muda utaongea
Hakuna namna upo sahihi kabisa kuwaambia waje kufundsha tuuu baasi kazi kwsha
 
Mh.Rais yuko sawa kabisa na wazazi tupo sawa kabisa,nina imani Ikulu itatoa tamko au itafafanuwa zaidi.Ni mara nyingi tumekuwa na tabia ya kutokumuelewa Mh.Rais anamaanisha nini na Ikulu ikatupa ufafanuzi.Muhimu tufanye subra na tuwe wenye kutii sheria bila shuruti.
Kwa hiyo tuna Rais Wa kutamka yasiyoeleweka ili wengine waje wafafanue!!?
 
Habari waungwana ,mm ni mkuu shule ya msingi hapa mkoani Tanga jana baruaimetoka kwa mkurugenzi inayonitaka kuandika jina na kula kiapo na kusaini kama ntatoza mchango yoyote ni fukuzwe kazi.Barua imekataza kutoza mchango yote kama mchango wa mlinzi,mitihani ya majaribio,ujenzi wa miundo mbinh,utengenezaji wa samani,ujenzi wa uzio,mahafali ya wanafunzi,ununuzi wa T shirt,nembo ya uniform, ziara za kitaaluma,uandikishaji,picha za kadi za maendeleo ya wanafunzi.

Ukweli ni mzuri kuliko kitu chochote elim tunaimaliza rasm,kwa kuizika kabisa ,nasikitika wazazi wanashangilia kana kwamba hela tulikuwa tunazila waalim ,wazazi wengne hata jana wamekuja kutupa moyo kuwa tusikate tamaa watajaribu kwenda kwa mkurugenzi kuongea nae,ila mm nimewaambia walim wangu wawe wanakuja na kufundisha tu.

Hata watoto wachekechea walikuwa wanakunywa uji nimesema wasome hivyo hivyo ,kwahiyo kauli ya Raisi ni mbaya katika msitakabali wa elim,naamini muda utaongea
Hatari sana aisee, naiona Tanga yangu ikiporomoka kwa kasi kitaaluma
 
Anaetakiwa kuifafanua si wazazi ni huyo aliesema,maana unaambiwa elimu bure then jiulize bajeti yote iliyopangwa kwenye elimu inatimia?otherwise zitakua porojo tu huku elimu ikielekea shimon
 
Habari waungwana ,mm ni mkuu shule ya msingi hapa mkoani Tanga jana baruaimetoka kwa mkurugenzi inayonitaka kuandika jina na kula kiapo na kusaini kama ntatoza mchango yoyote ni fukuzwe kazi.Barua imekataza kutoza mchango yote kama mchango wa mlinzi,mitihani ya majaribio,ujenzi wa miundo mbinh,utengenezaji wa samani,ujenzi wa uzio,mahafali ya wanafunzi,ununuzi wa T shirt,nembo ya uniform, ziara za kitaaluma,uandikishaji,picha za kadi za maendeleo ya wanafunzi.

Ukweli ni mzuri kuliko kitu chochote elim tunaimaliza rasm,kwa kuizika kabisa ,nasikitika wazazi wanashangilia kana kwamba hela tulikuwa tunazila waalim ,wazazi wengne hata jana wamekuja kutupa moyo kuwa tusikate tamaa watajaribu kwenda kwa mkurugenzi kuongea nae,ila mm nimewaambia walim wangu wawe wanakuja na kufundisha tu.

Hata watoto wachekechea walikuwa wanakunywa uji nimesema wasome hivyo hivyo ,kwahiyo kauli ya Raisi ni mbaya katika msitakabali wa elim,naamini muda utaongea
Mimi si mwalimu lakini tangu juzi niliwashauri msihatarishe ajira zenu kwa ajili ya KIKI ya mtu mmoja.
 
Mimi binafsi nadhani mkuu alikataza michango ya lazima ambayo ilifanya wazazi wengi kushindwa kupeleka watoto wao shule. Michango ya hiyari ni sawa kwa ajili ya maendeleo lakini kumlazimisha mzazi asiekua na uwezo si vizuri.
Kuna Wazazi Wengine Ukiwambia Hv Hawakuelewi
 
Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya CHAKULA kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya USAFIRI kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya STUDY TOUR kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya MOTIVATION (Hamasa kwa wale wanaofaulu Vizuri) kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya KUSAFIRI KIMICHEZO kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Nashauri wazazi wenzangu Tuwe tunafafanua Matamshi ya Raisi ili Tuwape amani na furaha watoto wetu...

Nadhani baadhi ya list uliyoweka hapo Juu naamini haiko kwenye wigo wa Kauli ya Raisi. Ila shida kubwa Michango hizi zimekuwa kero pamoja na lengo jema!
Na hasa linapokuwa limegeuzwea kuwa Mchango lengo jema linapotea kwa sababu kimapato /Uwezo toka Mzazi mmoja kwenda mwingine hutofautiana!. Na pale wingine wanaposhindwa kulipa taabu huanzazia hapo!

Kuna haja ya kutafuta namna ya kufikia hizi nia njema! Mmoja ni kupitia harambe maana kwa uelewa wangu hili ni jambo la hiari.
 
Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya CHAKULA kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya USAFIRI kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya STUDY TOUR kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya MOTIVATION (Hamasa kwa wale wanaofaulu Vizuri) kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya KUSAFIRI KIMICHEZO kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.

Nashauri wazazi wenzangu Tuwe tunafafanua Matamshi ya Raisi ili Tuwape amani na furaha watoto wetu...
Tatizo makomeo akili ndogo.full kukurupuka
 
Back
Top Bottom