Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,024
Oa sasa unajiliza nini wakati umeona ni wife material?daaah lakini namuona kama wife material
Oa sasa unajiliza nini wakati umeona ni wife material?daaah lakini namuona kama wife material
Man ngoja nikupe ushauri wa kiume kabisa . Be a man, this time change gear kabisaaa, usimcheke chekee hovyo. Be straight muite muongee tena ukiwa umeweka uso wa serious, mwambie tabia hiz na hiz aache au kuna mambo anafanya hakufarahishi.naumia sana kaka
Andika vizuri uelewekeUshaambiwa usimfuatilie sasa ww kuwa kng'ang'aniz uumie
Hi love kabisa sioSina ushauri zaidi ya kukupa pole
eeh,daaah lakini namuona kama wife material
Upole ndo silaha yao haoHabari zenu wanajamii forum
Katika harakati za kutafuta binti anayeendana na sifa zangu nazotaka, eeh bwana macho yangu yakatua kwa binti mmoja wa kinyaturu ambaye nimekutana anaye hapa Moshi, Kilimanjaro. Yaani kwa kumwangalia ni mpole hana mambo mengi na kizuri nilichokipenda alikuwa muda wote anashinda kanisani, tena moja ya kanisa la kilokole na muda wote anaimba mambo ya Mungu.
Basi nikaanza harakati za kumfatilia maana kwa mimi ninaona kabisa ni aina ya mke nayemhitaji, basi bwana kama tabia ya wanawake ilivyo alinisumbua sana mpaka kumpata sasa mwaka jana mwisho nikafanikiwa kumiliki lakini sasa nimeanza kuona tabia zake sio kabisa.Kwanza ana kiburi kisicho na mfano na kitu cha pili nimegundua ana connection ya wanaume wengi sana japo ni msiri sana.
Kitu kingine nimegundua anapenda maisha ya juu sana kuanzia nimeanza kuwa naye, Pamoja na hilo mavazi anayovaa anapenda yale yanayo take attention kwenye jamii,yaani anavaa vimini huku mtaani ya nguo za kubana makalio mpaka najiuliza huyu sijui anasali nini yeye anadai yeye ni kijana wa kisasa na amenionya nisimfatilie maana nitaumia sana ana mambo mengi
Jamani nimeamini wanawake wapole wana siri nzito sana.Naombeni ushauri wadau niendelee naye au nifanyeje???
Kumbe hata jibu analo.Ushaambiwa usimfuatilie sasa ww kuwa kng'ang'aniz uumie
Kumbe hata jibu analo.Ushaambiwa usimfuatilie sasa ww kuwa kng'ang'aniz uumie
Daah madam umetisha.. Mpaka umefanya nikutamaniKitu ambacho niko tofauti napenda a man anayenifuatilia na kunipa vimarufuku vya hapa na pale' nguo hii sitaki, mda huu sitaki uwe sehemu fulani, uko wapi, mara kapiga midnight, sijakaa vizuri kapekua simu yangu, niko bafuni naoga kapokea simu. Wivu ule tukikaa 3 anataka akae katikati yaani na enjoy sana
Acha tamaa za kigushi ww..Daah madam umetisha.. Mpaka umefanya nikutamani