Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.

Akili matope
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Wachina,waarabu,wahindi,wazungu mbona nao wapo wengi tu na wanafanya biashara ndogo ndogo tu .

Na Kwanini wasiandamane kuishinikiza serikali kubadili sera ya uhamiaji badala ya kuua watu weusi tu
Sikuzote ukitaka uishi vizuri, know and be good to ur own kind. Nafikiri hao jamaa wamejisahau wenzao ni kina nani.
 
Ukitafuta takwimu huko za mabeberu wa kigeni na waafika wahamiaji. Chances are mabeberu wana outnumber wa-Africa by the ratio of more than 20:1, tells you akili za mtu alietawalia kwa muda mrefu.

Slave like mentality ndio tatizo la poor S.A
 
hawafanyi kazi za kijinga kama wazamiaji wa kiafrika, hao mostly unakuta ni wawekezaji au wanafanya zile kazi za kitaalam ambazo weusi hawawezi kufanya bila kuharibu,,Huu ni ukweli mchungu

Nikikwambia kwamba AK,kuna wahindi kibao wanatembeza chai kitaani,utabisha?
 
Katika watu wapumbavu kabisa Duniani ni hawa Wasouth Afrika weusi. Kwa upumbavu wao wanaamini kuwa umaskini wao na tatizo la ajira vinasababishwa na wageni.

Wasichokijua, kadiri wageni watakavyopungua ndivyo umaskini wao na tatizo la ajira vitakapoongezeka maradufu.

Mgeni aliyeenda na mtaji wake akaanzisha biashara anasababishaje umaskini na tatizo la ajira kwa Msouth Afrika mweusi.

Hivi daktari bingwa aliyetoka Zimbabwe anasababishaje tatizo la ajira kwa kijana ambaye hana hata elimu ya msingi?

Mwanafunzi wa kutoka Tanzania anayelipa ada, anasomeshwa na wazazi wake anasababisha tatizo la ajira au anawatengenezea ajira wenyeji?

Huu upumbavu wa mtu mweusi sijui kama utakuja kwisha. Ndiyo maana mtu mweusi anadharaulika. Kwa wenzetu hawa inaonekana weusi hauishii kwenye ngozi bali mpaka kwenye ubongo.

Mandela aliteseka bure. Aliteseka kuondoa ubaguzi wa rangi, aliowapigania wameanzisha ubaguzi wa originity!
 
tutawalaumu wasouth africa na kuwafanyia stereotype za kila aina kuwa ni wavivu, wanaendekeza tu starehe, ngono nk, ila nyuma ya pazia ile nchi imefurika wahamiaji haramu wa kiafrica wanaofanya umachinga, uhalifu na biashara haramu za dawa za kulevya.

imagine tz ifurike wanajeria, wakenya au waganda halafu wajazane mabarabarani wafanye umachinga huku wengine wakishiriki kujiingiza katika magenge ya wauza dawa za kulevya, hali ingekuwaje.

mimi nasimama na wasouth. mwisho wa siku kila mtu abaki kwenye taifa lake.

Wageni wamefurika, sawa. Wanafanya uhalifu, kweli. Serikali iko wapi? Tatizo rushwa imekithiri na wanasiasa kule ni wanafiki wa kutupwa. Wanakula hela ya hao wageni hasa matajiri drug dealers wa kiNigeria na kuwadanganya wapiga kura wao kuhusu wageni wote wa kiafrika ndio tatizo. Wanaoishia kushambuliwa ni innocents wenye biashara halali zinazochangia uchumi. Hapo sijui unasimama na wasouth gani?
 
Naona na wewe una element za xenophobia..kimsingi mzungu anafurahi akituona hivi..kumbuka mambo ya divide and rule..na kimsingi dhambi ya ubaguzi ni kama kula simba kula nyama ya mtu..lazima ahamie karibu na kijiji..

Wakimaliza wa afrik wenzao..watahamia kwengine huo n kama mwanzo tu.

Suala la msingi ni kuamsha ari ya uafrika kuondoa mipaka kuna na one govrment kama ilivyo USA..
 
Wageni wamefurika, sawa. Wanafanya uhalifu, kweli. Serikali iko wapi? Tatizo rushwa imekithiri na wanasiasa kule ni wanafiki wa kutupwa. Wanakula hela ya hao wageni hasa matajiri drug dealers wa kiNigeria na kuwadanganya wapiga kura wao kuhusu wageni wote wa kiafrika ndio tatizo. Wanaoishia kushambuliwa ni innocents wenye biashara halali zinazochangia uchumi. Hapo sijui unasimama na wasouth gani?

Kama kuna watu ambao raia wa Africa Kusini wanapaswa kuwalaumu kutokana na matatizo yao,basi ni mamlaka zao zinazosimamia na kuongoza nchi yao.
 
Kwanini tunadhani mauaji/Xenophobia yanayofanyika SA yatamalizwa kwa kuwakumbusha tulivyowasaidia kwenye harakati za ukombozi?

Hapa ndipo nina shida napo mimi...hawa wanashida wamekuwa wageni kwenye nchi yao..nchi yao imeharibiwa pia tulikubali hili.

Siwaungi mkono kabisa kuua watu.

Sasa kama maoni yako ndio hayo, unaunga mkono nini sasa??
 
Katika watu wapumbavu kabisa Duniani ni hawa Wasouth Afrika weusi. Kwa upumbavu wao wanaamini kuwa umaskini wao na tatizo la ajira vinasababishwa na wageni.

Wasichokijua, kadiri wageni watakavyopungua ndivyo umaskini wao na tatizo la ajira vitakapoongezeka maradufu.

Mgeni aliyeenda na mtaji wake akaanzisha biashara anasababishaje umaskini na tatizo la ajira kwa Msouth Afrika mweusi.

Hivi daktari bingwa aliyetoka Zimbabwe anasababishaje tatizo la ajira kwa kijana ambaye hana hata elimu ya msingi?

Mwanafunzi wa kutoka Tanzania anayelipa ada, anasomeshwa na wazazi wake anasababisha tatizo la ajira au anawatengenezea ajira wenyeji?

Huu upumbavu wa mtu mweusi sijui kama utakuja kwisha. Ndiyo maana mtu mweusi anadharaulika. Kwa wenzetu hawa inaonekana weusi hauishii kwenye ngozi bali mpaka kwenye ubongo.

Mandela aliteseka bure. Aliteseka kuondoa ubaguzi wa rangi, aliowapigania wameanzisha ubaguzi wa originity!
Hapana Bams, nadhani umelipeleka mbali mno likiwa limeegemea upande mmoja tu.

Hapo sijaona mchango wa serikali yao katika mambo yote haya. Mimi lawama zangu nyingi, huenda zaidi ya asili mia 80, naitupia serikali ya Afrika Kusini kwa yafuatayo.
1. Inaelekea sera yao ya uhamiaji haina mwelekeo. Huwezi kuruhusu watu waingie kiholela nchi bila ya kuwa na vigezo maalum.
2. Serikali ya Afrika Kusini inalo jukumu la kulinda maslahi ya hawa watu wake, hasa vijana. Inaelekea serikali hiyo imelala usingizi wa pono kabisa.

Mashirika makubwa toka Afrika Kusini yametapakaa Afrika kote yakiwekeza kwenye sekta mbalimbali. MTN kule Nigeria imeajiri vijana wa Nigeria. Lakini Nigeria wao wanawekeza Afrika Kusini kwa kuwapelekea "Machinga wao" ambao hata kuwaajiri vijana watatu tu wa Afrika Kusini uwezo huo hawana!

Leo hii tutawalaumu sana hawa vijana wa Afrika Kusini kufanya haya wanayofanya. Hebu tuwaze kwa dakika moja mkondo wa uhamiaji ubadilike, utoke Afrika Kusini na nchi nyinginezo kwenda Nigeria. WaNigeria watakaa kimya?

Serikali ya Afrika Kusini inao wajibu wa kulinda maslahi ya hawa vijana wake. Ni lazima ionekane inafanya kazi.

"Mandela atakuwa aliteseka bure", endapo hapatakuwepo mabadiliko katika hali ya maisha ya vijana hawa kutokana na serikali yao kushindwa kulinda maslahi yao wanayostahili, ikiwa ni pamoja na kulinda fursa chache zinazopatikana nchini kwao wanazoweza kuzitumia kuinua maisha yao.
 
Back
Top Bottom