Recent content by mushi.richard

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Jaribu kuwasiliana na SIDO ,VETA au DIT watakusaidia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania self employement job post

    Let us be careful of these "triangle" games!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania self employement job post

    It is a quote of WISDOM!
  4. M

    JamiiForums Tanzania self employement job post

    Let us be careful of these "triangle" games!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Leseni Kwa wahandisi waliosajiriwa

    Lazima wawe na impact kwenye jamii na sio kuwa majina tu Eng. so and so!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huduma za kisanii za CRDB

    I support you!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Where do you buy a laptop in Tanzania

    I think computers are tax free! The demand in Tz is so high nowadays! What are your price ranges??
  8. M

    JamiiForums Tanzania utamtambuaje mwanamme anayetembea na msichana wa kazi(housegirl)

    Dalili kubwa kabisa ni House Girl kuanza dharau kwa Mother-house!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jina la mpenzi wa zamani layumbisha ndoa

    Hayo yanazungumzika tu! Haihitaji haraka!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume husema 90% uongo kumtongoza mwanamke kwa mara ya kwanza.

    Most men sing what women want to hear!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wife amanichosha nataka kumtema lakini gharama !!-sina raha ya ndoa

    Mzee inategemea wewe ulimpendea kitu gani! Kwani from the beginning ingekuwa busara ku-balance kati ya mapenzi yako na huyo bibie na mustakhabali wa watoto! Inabidi tupunguze kidogo ubinafsi katika mazingira kama haya!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Us embassy na vioja vya baadhi ya wafanyakazi

    Du! Walikuwa waswahili au wazungu? Pole sana Ndugu, hiyo ndio indigenous rights tunazozitaka! Hilo ni tatizo letu sisi wenyewe tukipewa nafasi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara huu kwenye kampuni ni haki?

    Inabidi urejee kwenye "Government notice No.172 ya 30.04.2010" yenye kichwa cha habari "Regulation of Wages and Terms of Employment Order,2010. Hapo utapata kima cha chini cha mshahara kwa sekta mbalimbali.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vacancies for Civil Technicians-2 Posts

    TANROADS Kilimanjaro is looking mature, energetic and resourceful persons with Full Technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering to fill the positions of CIVIL Technicians. Apply to: Regional Manager, TANROADS, P.O.Box 3051, MOSHI.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara ngazi ya stashahada

    katika dunia ya ushindani watu hawalipwi kwa ukubwa wa vyeti bali kwa "contribution" yako kwenye organisation!
Back
Top Bottom