utamtambuaje mwanamme anayetembea na msichana wa kazi(housegirl)

Maswalala

Senior Member
Mar 30, 2011
149
12
Habari zenu wana jf i hope mko poa, swali langu ni kwamba ni dalili zip/ alama gani ambazo huonekana kwa mwanamme anaye toka kimapenzi na housegirl wa nyumbani kwake ilikhali yeye ana mke tiyari(familia) nawasilisha
 
..mashauz mezan wakat wa kula.
..ubsh
..kujifanya anajua..unachomwelekeza afany
..usaf/vipodoz vtazd...
 
Mume kuanza kumfananisha house girl na mama mwenye nyumba, kosa dogo tu utasikia mume anasema hata huyu housegirl tuliyekuwa nae hawezi fanya hivyo
 
mume kuanza ku-act kama House-Boy kumbe anamsaidia HG..

BJ,

ha ha ha ha ha... hapo umeniacha hoi ... Sasa kama nyumbani kuna house boy pia, mume ana-act kama shamba boy?

Anywayz :: Dalili kubwa ni Mume kumsifia House Girl kwa kila kazi anayoifanya :::

Kuna Dada mmoja alimpakulia mume chakula akasahu kumwekea pili pili, mume akamkumbusha, mke akamlete pilipili nzima.. Mume wake akamwambia mbona haujakata kata pilipili kama Mary (HG)? Maana Mary akikuletea pilipili zinakuwa zimekatwa katwa kama vile ametumia RULA!

Mary was fired the next day!
 
Mume kumletea HG zawadi na kumkabidhi moja kwa moja badala ya kupitia kwa Mother House.
 
Mume kujifanya anamsagia HG. Na kukushauri umfukuze kazi wakati wewe ndio bosi wa HG. Kifupi wanaume wengi wakishachapa hawapendi HG aendelee kuwepo kuhofia siri kugundulika. Si wote lakini.
 
Kutokumiss unapokuwa mbali naye kwa muda mrefu. Ukienda kwenu hakuulizi unarudi lini.
 
BJ,

ha ha ha ha ha... hapo umeniacha hoi ... Sasa kama nyumbani kuna house boy pia, mume ana-act kama shamba boy?

Anywayz :: Dalili kubwa ni Mume kumsifia House Girl kwa kila kazi anayoifanya :::

Kuna Dada mmoja alimpakulia mume chakula akasahu kumwekea pili pili, mume akamkumbusha, mke akamlete pilipili nzima.. Mume wake akamwambia mbona haujakata kata pilipili kama Mary (HG)? Maana Mary akikuletea pilipili zinakuwa zimekatwa katwa kama vile ametumia RULA!

Mary was fired the next day!

Inawezekana Mother House alimwonea tu Mary, kuna HG wengine wanajibika kama hivyo na wala Mzee hajawahi hata kufikiria, si unajua wako kazini kama wafanyakazi wengine. Wapo wanaujituma na wengine wazembe, wakati mwingine kumsifia sio dalili tosha, ila UKIONA ZAWADI ZAWADI, jua iko kitu au inakuja.
 
Habari zenu wana jf i hope mko poa, swali langu ni kwamba ni dalili zip/ alama gani ambazo huonekana kwa mwanamme anaye toka kimapenzi na housegirl wa nyumbani kwake ilikhali yeye ana mke tiyari(familia) nawasilisha

Nakuomba ukimaliza utafiti wako, usimfukuze huyo HG wako na kuanzisha tafrani kwa kaka yangu.
 
faida za kutembea na house girl

1.kurudi nyumbani mapema

2.kupunguza matumizi...

3.kujua siri za mkeo na mtaani kwenu..

4.kumpa mkeo nafasi ya kupumzika....

5.kutokuwa na nyumba ndogo...
 
Hagar was an Egyptian handmaiden of Sarai, the first wife of Abram, who served her mistress less than ten years since coming out of Egypt. Hagar was offered, by her mistress, to Abram to be as a second "wife".[Gen.16:3] Sarai presented this offering to her husband because she had been barren for so long and sought a way to fulfill God's promise, especially since they were getting older. (Genesis 16:1-3)
 
Back
Top Bottom