Mshahara ngazi ya stashahada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara ngazi ya stashahada

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by madata84, May 4, 2011.

 1. m

  madata84 Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari wana jf naomba msaada kujua mshahara ngazi ya diploma ni kiasi gani kwa kuanzia.
   
 2. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tegemea swali lako kutopata jibu sahihi maana halijibiki.
  Ni Mtazamp wangu Madata
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  kuanzia elfu 80 mpaka mil.30 kwa maoni yangu. ni kutokana na kazi, uzoefu, hadhi ya ofsi n.k . Labda ubadili swali lako maana akili za watu ni kama google unavobadili swali ndo majibu yanavobadilika. Weka swali lako vizuri upate jibu sahii.Gudtym.
   
 4. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  INATEGEMEA NI OFISI GANI,
  serikalini na mashirika binafsi yanatofauti,pia viwanda vya wazungu na vya wahindi wana malipo yao tofauti.
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  usisahau security firms. Ila akina shaktkapoor wanapenda sana mtu wa elimu hiyo ili wamkandamize
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwa idara gani?na nafasi gani?
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Elfu 80 mapka 30million.......mmmh!
   
 8. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Siku hizi mishahara ya kibongo inatofautiana pia ki-sekta; ukiwa sekta ya Madini na Afya ukiwa na-stashahada usishangae ukaanza na laki 2.5 adi laki 3, sekta zingine kwakweli kwa stashahada ni utata.
   
 9. K

  Kitwanad Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  be specific, pleeeese!
   
 10. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Diploma ya ualimu serikalini TGTS C
   
 11. m

  madata84 Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Samahanini kwa swali langu kuwa too general, ni diploma ya social science na ni kwenye NGO's i hope sasa nimeeleweka.
   
 12. m

  madata84 Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanks ni diploma ya social science na ni kwenye NGO
   
 13. m

  madata84 Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanks ni diploma ya social science na ni kwenye NGO position ni community mobilizer i hope sasa nitapata jibu sahihi.
   
 14. m

  madata84 Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanks, Idara ya social science, nafasi ni community mobilizer.
   
 15. m

  mushi.richard Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2007
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika dunia ya ushindani watu hawalipwi kwa ukubwa wa vyeti bali kwa "contribution" yako kwenye organisation!
   
 16. m

  madata84 Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Diploma ya social science, kwenye NGO, position community mobilizer
   
 17. R

  Ruba Member

  #17
  May 6, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mshahara wa serikali,290,400 ngazi ya diploma,mashirika sijui
   
 18. R

  Ruba Member

  #18
  May 6, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa maisha ya siku hizi kila kitu kimepanda mishahara mbona awaongezei ndio maana ufisadi hauishi,naona serikali ikiongeza mishahara ufisad utapungua kama siyo kuisha.mf.wilaya moja ya CHATO wamechakachua vocha za pembejeo zote watendaji wa vijiji na DALDO,hiyo yote mishahara midogo,naomba mchuguze wilaya hiyo itaendelea?
   
Loading...