Recent content by Muoldmoshi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kutuma hela kwa mpesa. Do it at your own risk

    Siyo Voda tu hata TIGOPESA nao ni kimeo, Wahudumu wao wanakupa matumaini kuwa pesa yako itafika ulikotuma baada ya muda mfupi kumbe ni kukufurahisha tu. Hasa ukituma pesa siku za weekend ni bomu kabisa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali, waelekezeni wanaotafuta elimu ya India na China kwa watoto wasio na sifa

    Toa Mfano wa kijana yeyote aliyesoma katika hivyo vyuo vya nje ambae ni kilaza au ana vyeti feki.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba mbadala ya Cancer ya Ini

    Pia chemsha majani ya mstafeli na unywe kwa muda mrefu ukiendelea kufuatilia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Wakuu, mimi ni Mstaafu Mtarajiwa, Natafuta incubator yenye uwezo wa kutoa vifaranga wa kuku na bata kati 500- 1000 kwa mara moja. Ni mradi ambao unaweza kujiajiri mwenyewe na ukaweza kuishi bila kutegemea ppf au NSSF.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imerudi

    ndiyoooooooooooooooooooooooooooo irudi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chief Humphrey Mashingia is no more

    Raha ya milele umpe e Bwana, Na Mwanga wa milele umuanzazie,apumzikekwa amani.AMINA Nafikiri mazishi yatakuwa hapa Dar ,Nyumbani kwake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

    Njoo kw afande ukutane na george
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    Pole saana Kwa familia nzima ya SAJUKI
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari

    Mimi ninayo Toyota Cresta year 2001, Km 77,000,Imengia Hapa Tz tarehe 10/8/12 toka Japan. Ni nzuri sana wasiliana nami Kwa namba 0784 753283.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari la kununua

    Chukua familly car,Nissan Serena 2003/8 imesajiliwa karibuni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ex-Tanzania Tourism Board boss dies

    Rip mzee mwenguo,poleni wanafamilia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco yatangaza mgawo wa umeme nchi nzima

    Labda Hao Watu Wana Maduka Ya Kuuza Generator Toka China au Wana HISA IPTL
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Huyu RA asiwadangaye watanzania. Huyu ni Muiran kabisa , Babu zake walikuja Tabora kufanya biashara tu. Asijidai ana uzalendo wakati tunajua mguu mmoja hapa mwinyine uko dubai. Anaikoroga nchi huyu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania News of the screws

    Kinondoni Area Commissioner, Afande Colonel Tarimo!!!!!!! Be careful, It is Fabian Massawe,
  15. M

    JamiiForums Tanzania Chakula cha usiku: Wahanga sasa ni wanawake!

    Hii thread siyo pahala pake, please pelekeni kwenye jokes
Back
Top Bottom