Muungano upo Mahututi unapumulia Mashine Miaka 47 Zanzibar hawajahudumia Muungano kwa Miaka 47, huku Tanganyika ikiwaogopa kuwakumbusha eti ikiwauliza wangevunja Muungano. ! Huku kujipendekeza kwa Tanganyika juu ya huduma za Zanzibar Ndio kumepelekea Zanzibar kuonekana ni Mkoloni . Maana anawanyonya Watanganyika Live , kisha anavurumusha Vuvuzela ili kuwapumbaza wasijitambue wananyonywa.