Dindira
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 2,912
- 3,462
Siku sita zilizopita nilimtumia mwanangu Tsh 100,000 Mpesa i.e vodacom kwenda tigo. Ile hela haikwenda ila nilipata ujumbe niende kwa wakala wa vodacom. Wakala aliniambia hela ime hang na itarudishwa baada ya 72 hrs. Baada ya siku tatu nilirudi kwa wakala kumuuliza akasema vodacom bado wanashikilia hela. Nikapiga vustomer service nikaambiwa hela bado ime hang ila itarudi baada ya saa sita na dkk kumi. Baada ya muda kuisha nikapiga tena. This time nikaambiwa hela itarudishwa baada ya another 72 hours. Imagine usumbufu ninaopata na poor service ya customer service. Baadae wakanitumia msg (nitaiweka hadharani ) inasema hela itarudishwa walati wowote. Na imagine ningetuma M ingekuaje ? Mwenye uzoefu anifafanulia nini maana ya hela ku hang