Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

sisi tunajadili mnyama nguruwe alivyo mtamu na anapatikana wapi.ww unaleta siasa nenda jukwaa la siasa aliye panga majukwaa sio mjinga

Huyo yaser kaniboa bana, sijui kavurugwa!?
 
Last edited by a moderator:
Huyo yaser kaniboa bana, sijui kavurugwa!?

pole mkuu. alafu kapita kila uzi anatukana sijui boss wake kamzingua mshahara siunajua tarehe hizi ukimuona mtu anahasira jua atm no money
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama mtoa mada ameeleweka vizuri. Kama nimemuelewa worry yake ni sehemu zinazotengenezewa kitimoto, yaani jiko, nyingi usafi wake hauridhishi. Hakuwa na maana ya utengenezaji wa nyama yenyewe kama ni tamu na laini au la!!!
 
Tutachukua nchi kweli kwa mjadala wa kitimoto kutawalaa namna hii, si hata kama wewe ukipewa nchi utakuwa unawaza kitimoto tuu huku wananchi wanakufa na kwashakoo
 
Tutachukua nchi kweli kwa mjadala wa kitimoto kutawalaa namna hii, si hata kama wewe ukipewa nchi utakuwa unawaza kitimoto tuu huku wananchi wanakufa na kwashakoo

kwashakoo mbele ya kitimoto.siasa bila kula haiend.mkuu
 
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe,ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi.Hii ni kwa nn?au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajionee

Acha kutugeresha, asalam aleykhum!!!
 
Hao nguruwe hawakuwa hawa wa kwetu tz, walikuwa wa middle east. Kwanza ilikuwa kitambo sana sisi hayatuhusu wacha tupge noah kwa raha zetu weyeeeee!

Kila kwenye mzoga ndipo wanapokusanyika Tai: Jesus Christ.
Naona Tai wanashangilia !
 
Kuna pale mwembeni kinondoni makaburini njia ya kwenda bamboo,kuna mdada wa kichaga pale inapatikana ya kuchoma.unakaa kivulini unapiga mdudu.ukibanwa haja hasa kubwa shauri yako maana choo hana.bora uwe ume-overhaul kabla hujaenda.
 
Tutachukua nchi kweli kwa mjadala wa kitimoto kutawalaa namna hii, si hata kama wewe ukipewa nchi utakuwa unawaza kitimoto tuu huku wananchi wanakufa na kwashakoo

Nikichukua nchi natangaza amri ya kila kaya angalau kufuga nguruwe 3 asiyetaka jela miezi 6.
 
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe,ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi.Hii ni kwa nn?au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajionee

kitimoto ni uchafu we uliona wapi uchafu ukawekwa mahali safi? mburula.
 
Nimewahi kula pale mara nyingi, Ila nimebadilisha. Nyama wanaharakisha kupika, inakuwa ngumu, haiivi sawasawa. Kimara Resort (safari Resort) wanatengeneza vizuri sana

Umesomeka kiongozi...nitatinga pale karibuni!! barikiwa sana
 
Back
Top Bottom