Recent content by Mukimbiri

  1. Mukimbiri

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msemaji wa M23, Willy Ngoma auawa kwa shambulio la Droni

    Hapa Congo ndo anatakiwa aimarishe jeshi lake kupitia uwepo wa Marekani. Sidhani kama Marekani ameingia mzimamzima bali yeye anatoa utaalam wakati watekelezaji wakiwa Congo wenyewe.
  2. Mukimbiri

    JamiiForums Tanzania Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Hapa hoja ni nini? Kwamba kuna kitu kinaweza kumshinda Mwenyezi Mungu ambacho kakiumba mwenyewe?
  3. Mukimbiri

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya AN Classic jitahidi kuboresha huduma zenu kwa abiria

    Inaonekana hii ni shida ya muda mrefu. Niliwatumia malalamiko yangu kwenye email lakini kumbe nayo bosheni. Niliandika hivi. 1. Mimi ni mteja wako kwenye bus ambalo lilikuwa liondoke saa 9.30 ya tarehe 01.12.2025 badala yake tumeondoka saa 12. 2. Gari ilikuwa T897 DJN badala yake ilikuja gari...
  4. Mukimbiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT Nsingizini 0-3 Simba SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Somhlolo National Stadium| 19.10.2025

    All the best wazee wa hizo kazi
  5. Mukimbiri

    JamiiForums Tanzania DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

    Question Did Jesus say He is God? Answer It is true that Jesus never said the exact words, “I am God.” He did, however, make the claim to be God in many different ways, and those who heard Him knew exactly what He was saying. For example, in John 10:30, Jesus said, “I and the Father are one.”...
  6. Mukimbiri

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

    Kwani Tanganyika haiwezi kuwa semi-autonomous?
  7. Mukimbiri

    JamiiForums Tanzania Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

    Pole sana kiongozi. Kujutia ni mwanzo mzuri. Tumepiti Pole sana kiongozi. Nimewahi kupitia hali hiyo japo naendelea kupambana. 1. Angalia mazingira ya ofisini kwenu kupoje. Kuna kuvurugana mpaka utakosa kazi na watu watasema pombe ndo chanzo lakini pombe ni cover up kuna jambo nyuma yake. 2...
  8. Mukimbiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipigwe ban Simba akiambulia point hata moja Leo

    Kiongozi point kwenye fainali zinatoka wapi tena?
  9. Mukimbiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

    Afadhali hii. Kuna Ndanda vs Yanga mechi ambayo Yanga walikuwa waifuate Ndanda huko Mtwara lakini wakagharamia kuwaleta Dar na kisha kuwafunga 2-0. KMC ana uwanja Dar na hakuwa na sababu za kuhama uwanja zenye mashiko.
  10. Mukimbiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

    Kila la heri mnyama.
  11. Mukimbiri

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Marekani na DRC wakubaliana katika mikataba ya madini adimu na ulinzi

    Japo USA naye siyo wa kumwamini, angalau hao wahuni waliojazana Mashariki mwa DRC watatulia.
  12. Mukimbiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

    Leo kama neutral ground. Hakuna mashabiki. Hii itumike kama advantage .
Back
Top Bottom