Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

fika arusha ulizia kanisa la mbingu duniani njiro hutajutia.
 
Nje ya mada kidogo ivi inakuaje mtu mzima na akili zake timamu anashawishiwa kufanya jambo na mtu mwengine?
huwa inakuwa kuwaje yaaani?

Mbona me nimecheza sana na wavuta bangi na walevi ila ktk maisha yangu sjawahi ata kuweka kipande cha sigara mdomon mwangu achilia kunywa pombe ?

Na ktk familia yetu kaka zangu 3 wote ndo starehe zao pendwa ulevi, mirungu na ndaga
ila kwa sas ngada hawavuti wamebakia apo kwenye mirungi na ulevi tu.
ww ndio hauelewi.

Hakuna jambo la mtu mwingne.

Weng wanaotumia pombe. sigara. mirung na madawa ya Kulevya ni maamuz yao binafsi na sio kwamba wameshinikizwa.

Inaionekana ww hutumii chochote. je umeshinikizwa kutotumia chochote.

Bila shaka ni hapana. ila ni Free Will yako imeamua.

Then hata sisi wanywaj ni free will imeamua . kuwa ngoja ninywe. au ngoja nivute sigara nk.
Na pia kuacha weng ni hiyo free will imebadilika na ndio maana wameweza.
 
ntaufuata ushari ila nilichogundua kinachonisumbua nikiwa iddle muda mrefu ndo inanipelekea kwenye pombe ila nilirudi nyumbani kwetu nilikaa mwezi sijanywa
Wengi wanadhani ulevi kama wako ni kampani, si hivyo tatizo lipo kwako mwenyewe.

Ushauri wa kuachana na kampani yako nk sio sahihi sana maana kampani ya mlevi ni yeye mwenyewe.
Anaenda bar akijua kampani ataipata hukohuko.

Mkuu kama una mwanamke anaejielewa na unampenda unaweza mtumia kwa wewe kuacha pombe.
 
ww ndio hauelewi.

Hakuna jambo la mtu mwingne.

Weng wanaotumia pombe. sigara. mirung na madawa ya Kulevya ni maamuz yao binafsi na sio kwamba wameshinikizwa.

Inaionekana ww hutumii chochote. je umeshinikizwa kutotumia chochote.

Bila shaka ni hapana. ila ni Free Will yako imeamua.

Then hata sisi wanywaj ni free will imeamua . kuwa ngoja ninywe. au ngoja nivute sigara nk.
Na pia kuacha weng ni hiyo free will imebadilika na ndio maana wameweza.
Yaah kabisa ni sawa na mpiga nyeto tu, huwa anaamua yeye mwenyewe.
 
ww ndio hauelewi.

Hakuna jambo la mtu mwingne.

Weng wanaotumia pombe. sigara. mirung na madawa ya Kulevya ni maamuz yao binafsi na sio kwamba wameshinikizwa.

Inaionekana ww hutumii chochote. je umeshinikizwa kutotumia chochote.

Bila shaka ni hapana. ila ni Free Will yako imeamua.

Then hata sisi wanywaj ni free will imeamua . kuwa ngoja ninywe. au ngoja nivute sigara nk.
Na pia kuacha weng ni hiyo free will imebadilika na ndio maana wameweza.
Walio wengi ukiwauliza ilikuaje ukawa mlevi watakwambia walishawishiwa na marafik zao
na hata uyu mtoa mada anasema alishawishiwa na makundi aliyokua nayo

Ndio maana nikuliza ilo swali inakuaje mtu anashawishiwa na mtu na akakubali kirahis ivo mwisho wa siku unajikuta upo ktk hali mbaya ?
 
Mambo vipi ndugu zangu?

Leo nimekuja kwenu nipate ushauri maana napitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu kutokana na ulevi wa kupindukia, labda nianze tu kwa kuwapa historia fupi tu ya maisha yangu nilivyoanza kunywa pombe

Kunywa pombe nilianza 2016 nikiwa chuo kikuu na nilianza tu kwa ushawishi wa makundi mabaya na nilianza na pombe kali kwa iyo ilipelekea kuwa nakunywa pombe kali tu na nilikuwa naimudu fresh japo kuzingua ilikuwa mara moja na nimeendelea na pombe hadi leo hii na imeniletea shida nyingi kiuchumi na kiafya tangu kipindi icho maana nimechezea pesa nyingi sana kwa kunywa pombe na ngono nzembe maana nikinywa tu pombe tangu enzi za chuo lazima nitafute mwanamke wa kulala nae na kupelekea mara nyingi kuibuka na magonjwa kama UTI na gono nishawahi pata mara moja

Sasa tangu niingie mtaani na kuanza maisha ya utumishi wa umma imekuwa ni shida tena baada ya kwenda kufanya kazi wilaya fulani kwa wasambaa maana baada ya kwenda kule ndo ulevi ukazidi yaani nikiwa na hela tu akili inanipeleka kwenye pombe yaani mshahara wote unaishia kwenye pombe na ngono tena na malaya wanaojiuza na nikilewa sasa ni kama nakuwa nachanganyikiwa nachezea pesa balaa naweza jikuta nimetumia ata 100k kwa usiku mmoja,kingine ni kupoteza vitu yaani nishawahi kupoteza simu 3 ivi,na card ya benki,pia, nishaokotwa kalibu mara 2 nikiwa Bar nimezima sijitambui watu wananisaidia

Yaani pombe imenikataa kabisa na nimeshakuwa addicted nayo mbaya zaidi natumia izi pombe kali kama konyagi,kvant nk yaani kila nikijaribu kuacha naweza kuacha week 1 ila nikirudi inakuwa ndo toomuch

Nahitaji kuacha kwa sababu pombe inanifanya kuwa maskini na inaharibu afya yangu ,akili na uchumi wangu,mi ni mtumishi wa umma na nalipwa six figure salary kila mwezi ila ukinikuta navyoishi ni kama mtu wa ovyo yaani nazidiwa maisha ata na bodaboda maana hela zote zinaishia kwenye pombe na malaya badala ya kufanya maendeleo, pia nahitaji kuacha maana nakoelekea pia naweza jisababishia matatizo kama kurukwa na akili,magonjwa ,kifo na kuishi maisha ambayo nayachukia.

Na kuna muda hadi najuta kwenda iyo wilaya ya wasambaa kufanya kazi yangu ya kwanza maana ni kama nilirogwa vile maana kule ulevi uliopindukia ulianzia na kupoteza vitu kulianzia uko plus vitisho vya kurogwa mara kibao,imagine kila ukitaka kwenda job unasikia kizungu zungu .

naombeni msaada najitoaje kwenye ili janga maana nahitaji kuacha pombe ila ni kama kuna minyororo ya umasikini imenishika kila nikiwa na hela inanipeleka kwenye pombe na nakuwa sijitambui kabisa akili zinarudi nikishamaliza pesa na najuta sana ila nikipata hela tu akili ni kama inafungwa narudia yale yale na mbaya zaidi.
Pole sana kiongozi. Kujutia ni mwanzo mzuri. Tumepiti

Pole sana kiongozi. Nimewahi kupitia hali hiyo japo naendelea kupambana.
1. Angalia mazingira ya ofisini kwenu kupoje. Kuna kuvurugana mpaka utakosa kazi na watu watasema pombe ndo chanzo lakini pombe ni cover up kuna jambo nyuma yake.
2. Acha kwenda baa kama ukienda huwezi ķujizuia.
3. Jaribu kwenda nyumbani
 
hakuna kitu kama icho
Tukiweka dhihaka pembeni, ushavuka hatua moja kubwa sana kuelekea kuacha pombe, nayo ni kukiri kuwa una tatizo.

Sasa usiishie kukubali kuwa una tatizo, amua kuwa unatafutia suluhisho hilo tatizo.

Kama kuna uwezekano wa kuomba uhamisho kutoka hapo ulipo basi fanya hivyo. Hii ni sababu ushajiaminisha kisaikolojia kuwa tatizo lako lina uhusiano wa moja kwa moja na hapo ulipo kwa sasa.

Pili, badili aina ya watu unaojumuika nao, mara nyingi kwenye ulevi kuna kuwa na company ya kunywa nao. Hao wateme kabisa na ukae nao mbali.

Tatu, jitengenezee budget ya matumizi yako ya muhimu ya mwezi mzima, weka hicho kiasi pembeni na ziada kidogo. Iliyobaki, fungua savings account ambayo utaweka kiasi chote kinatakachobaki baada ya kutoa matumizi yako.

Kubwa na la muhimu zaidi, jirudishe karibu sana na Mungu wako kwa imani yako. Katika hili sikushauri kutafuta sheikh (kama muislam) au mchungaji (kama mkristo), kilio chako kwa Mungu kiwe kutoka moyoni mwako, kwa kauli yako na si ya muongozo wa binadamu mwingine.
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana, ukiomba kwa dhati atakujibu.

Nakuombea sana kwa Mungu upate ujasiri wa kuacha ulevi na ubadilishe maisha yako.
 
Walio wengi ukiwauliza ilikuaje ukawa mlevi watakwambia walishawishiwa na marafik zao
na hata uyu mtoa mada anasema alishawishiwa na makundi aliyokua nayo

Ndio maana nikuliza ilo swali inakuaje mtu anashawishiwa na mtu na akakubali kirahis ivo mwisho wa siku unajikuta upo ktk hali mbaya ?
kwa iyo unakataa duniani hakuna vishawishi au?usiwe mbishi sana ,vishawishi vipo ata watu kuanza sexy si ushawishi au waanza tu
 
Sikatai vishawishi vipo

pambana kk utayashinda ayo majaribu zaid tafta mwenza walau akuongoze kufika malengo yako kusemwa semwa kila siku itasaidia kuacha pombe
 
Download app ya Maktaba Sauti kutoka play store kisha pakua kitabu Ifahamu Pombe. Kitakusaidia
 
POLE MKUU

Ni ngumu kuacha pombe ila ni rahisi kubadirisha mindset inayokutuma uifate ile pombe.

Hakika hakuna namna yoyote ile zaidi ya kushinda zimwi lenyewe ambalo ni wewe na wala sio pombe.

Kuna watu wengi wameacha pombe , sio kwamba wamepewa dawa wala nini ila waliamua kuishinda kiu kwa kuishinda fikra zao.

Waganga watakula hela zako
Wachungaji feki na mashehe ubwabwa watamaliza pesa zako.

🔥Meditate and pray , haswa mida ya 8 usiku hadi kumi alfajiri

🔥Cha kwanza acha kuona tulizo lako ni mitungi

🔥Badirisha mazingira ambayo yanakuchochea upige mitungi

🔥Achana na marafiki wanaokupa kampani hio

🔥Acha kuona kuwa umeshakuwa mtumwa wa ngono na hakuna namna yoyote unaweza fanya.

🔥 Kama hali ni mbaya mnoo tafuta Sober house ukae hata miezi 6

BILA KUFANYA HIVI TUTAKUZIKA MAPEMA
Hayo uliomueleza ndio Njia sahihi, tafuta mmbadala wa Tungi, Mimi ni mmoja wapo wa kupiga Tungi, Nashukuru sana Kwa kuamini Mungu yupo hata ndugu hawaamni kama ni Mimi! Pombe ni Noma hasa kama unakipato,wanakuzika Mchana kweupe!
 
Sikatai vishawishi vipo

pambana kk utayashinda ayo majaribu zaid tafta mwenza walau akuongoze kufika malengo yako kusemwa semwa kila siku itasaidia kuacha pombe
Nashindilia hapa.
Pamoja na ushaur wote. Ila Tafuta mwenza . hata mm kama isingekuwa wife sijui ningekuwa wapi. maana miaka 10 nyuma nilikuwa natoka bar saa 7 na saa 2 asubuh niko kazin kwa muda wa miaka 2. Nikaoa 2016 . Nikiwa na 28 yrs. Na niamini Maisha Yangu ya sasa yeye alinibadilisha kwa 80%.

Hela hata kama kidogo ila ndan ya miaka 5 unaweza ukawa na nyumba. watoto wanakula na kuvaa vizur na ukaishi standard life. kabla hata haujafika 40 yrs.
 
ntaufuata ushari ila nilichogundua kinachonisumbua nikiwa iddle muda mrefu ndo inanipelekea kwenye pombe ila nilirudi nyumbani kwetu nilikaa mwezi sijanywa
Basi simple tuu utaacha,kwanza baada ya kazi fanya mazoezi,soma vitabu,tengeneza bustani,utajikuta muda huna wa pombe!
 
Back
Top Bottom