Uhakiki
Senior Member
- Mar 20, 2025
- 148
- 225
Sikutani na wapuuzi.
Sikutani na wapuuzi.
Kiongozi point kwenye fainali zinatoka wapi tena?Wakuu Baada ya kujifungia miezi mitatu nikichambua kikosi heavyweight Cha RS berkane na kikosi hafifu Cha Simba El de makolo nimekuja ku draw conclusion Kwamba
Mvua ya magoli mengi ....itashuka Kwa Simba since berkane yupo daraja la juu Kidgo kuliko Simba .......daraja la berkane ilitakuwa ikutane na Yanga .....hapa mizani ingebalance
NB: Ni mjinga tu ataamini Kwamba Simba ( weak team) leo itapata matokeo Kwa berkane ( the giant)
SIMBA IKIPATA POINT YEYOTE LEO ..... NIPIGWE BAN SIKU 2.....maana ntakuwa nimeaibisha tasnia ya uchambuzi View attachment 3336748
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mzee wa tecno kg5j hongera kwa kuwa na utajiri mkubwa hivyo boss.Mkuu Kwa uwezo nlionao .... naweza finance ukoo wako mzima na ukoo wa mkeo combined Kwa miaka yote mtakayoishi duniani
Guess who I'm
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mtoa mada nadhani una tatizo la akili.wakuangalie kichaa akiishi ila kinatuliaWakuu Baada ya kujifungia miezi mitatu nikichambua kikosi heavyweight Cha RS berkane na kikosi hafifu Cha Simba El de makolo nimekuja ku draw conclusion Kwamba
Mvua ya magoli mengi ....itashuka Kwa Simba since berkane yupo daraja la juu Kidgo kuliko Simba .......daraja la berkane ilitakuwa ikutane na Yanga .....hapa mizani ingebalance
NB: Ni mjinga tu ataamini Kwamba Simba ( weak team) leo itapata matokeo Kwa berkane ( the giant)
SIMBA IKIPATA POINT YEYOTE LEO ..... NIPIGWE BAN SIKU 2.....maana ntakuwa nimeaibisha tasnia ya uchambuzi View attachment 3336748
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mshabiki damu damu wa Simba SC, naahidi Simba SC isiposhinda mechi zote 2 na kubeba ubingwa wa CAFCCL 2024/2025 nipigwe ban JF milele.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.

Hizo ni takwimu tu za makaratasi.....sio practical basedSimba nafasi ya 4 kwa ubora Afrika huku Berkane nafasi ya 5.
Sasa hapo nani yupo juu kitakwimu wewe mlugaluga mwenye kutumia Tecno?
Kuchukua kombe.... haiwezekaniUkitaka kupigwa ban Simba ikishachukua kombe tukana halafu omba hiyo ban
Ndo nnKimanu manu kina manua manua aaah sega sega kaulegeza
Kimanu manu kina manua manua aaah sega sega kaulegeza
Kimanu manu kina manua maua aaah sega sega kaulegeza
Namaanisha sare mkuuKiongozi point kwenye fainali zinatoka wapi tena?
Una maanisha nn mkuuMzee wa tecno kg5j hongera kwa kuwa na utajiri mkubwa hivyo boss.
Mi ni geniusMtoa mada nadhani una tatizo la akili.wakuangalie kichaa akiishi ila kinatulia
🤣🤣🤣 Jina lako sikulisikia kwenye Yale mawili ya watu wenye ubongo utopolo
Sawa doctor lakini elewa kuwa duniani hapa hakuna chuo kinatwa Cambridge University bali kuna University of Cambridge. Alumnus wanajua vizuri sana majina ya vyuo vyao
Bado mtoto mdogo kumbe
Berkane anaongoza hukoJina lako sikulisikia kwenye Yale mawili ya watu wenye ubongo utopolo
Nime spell Kwa kifaransaSawa doctor lakini elewa kuwa duniani hapa hakuna chuo kinatwa Cambridge University bali kuna University of Cambridge. Alumnus wanajua vizuri sana majina ya vyuo vyao