Averroes alisema haya kuhusu omnipotence;
"Can deity create a rock so heavy that even the deity itself cannot lift it? So then the rock is now unliftable limiting the deity power, but if not then the deity is not omnipotent because it cannot create that rock.
Hii ni sawa na kusema hivi "Je, katika sheria hizi hizi na Euclidean geometry, Mungu anaweza kutengeneza pembetatu ambayo jumla ya angle zake siyo 180?
Au Mungu anaweza kutengeneza gereza ambalo lina ulinzi mkali kiasi kwamba hata yeye mwenyewe hawezi kutoroka?
Si kila kinachosemwa ni rational, alichosema ni ILLOGICALLY na MEANINGLESS kwa sababu kinapingana na msingi mkuu wa logic: LAW OF NON CONTRADICTION, waliosoma philosophy wanaelewa. Ufuatao ni ushubwada unaofanana na hicho alichosema
1. Unaweza kuchora pembetatu ya duara?
2. Unaweza kuwa hai na mfu kwa wakati mmoja?
3. Unaweza kula harufu ya rangi ya njano?
4. Unaweza kupunguza kasi ya gari kwa kukanyaga clutch na accelerator?
5. Unaweza kumeza chakula kwa kutumia macho?
6. Unaweza kupumua kwa kuvuta hewa ya dayoksidi kabonia na kutoa oksijeni?
#ALL THE ABOVE & THE LIKE ARE NONSENSICAL

Sent from my SM-G935L using JamiiForums mobile app