Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 6,210
- 11,589
Wameanza kuwindana, ngoja majibu ya M23, Kinshasa nao sasa watakuwa target, dawa ya moto ni moto
Kijiwe cha kahawa cha mwembeyanga au mabibo mwisho?Kifo cha Willy Ngoma ni cha kimkakati, Wamerekani wameua ili kuuhadaa umma kuwa wako serious kwenye vita hiyo. lakini ni ukweli kuwa m23 ni kundi la waasi lenye sapoti toka kwa haohao Wamarekani kupitia Rwanda. upo nyonyo?
Willy ngoma ni kamanda kweli kwelijamaa kaniuma sana sjui kwann asee
DuhMzee, U.S ana kambi kibao Afrika humu.
mimi ni mfuatiliaji mkubwa wa vita hii ya congo mkuu, kwa hiyo huwa sibahatishi ninachokiandika!Kijiwe cha kahawa cha mwembeyanga au mabibo mwisho?
Hii inaitwa NAMSAKA MKE WANGU.Kuna chip inasubiriwa kutoka NVIDIA, itawezesha drone kuwa na AI na kujiendesha, haitohitaji tena controller, hata kama kuna jammers za kukata mawasiliano eneo hilo hazitoweza kuidhibiti maana inajiendesha kwa akili zake haitegemei mawasiliano, ikitumwa inakutafuta , ukikimbia inakukimbiza, ukijificha inakusubiri... ni balaa...
😁😁😁 Ina sense na Mawimbi ya mwili wako !?Kuna chip inasubiriwa kutoka NVIDIA, itawezesha drone kuwa na AI na kujiendesha, haitohitaji tena controller, hata kama kuna jammers za kukata mawasiliano eneo hilo hazitoweza kuidhibiti maana inajiendesha kwa akili zake haitegemei mawasiliano, ikitumwa inakutafuta , ukikimbia inakukimbiza, ukijificha inakusubiri... ni balaa...
😁😁😁 Na ukifa Ina kuzikaUkijiua inakuua
Anatoa pesa hii huku anaihamishia mfuko wa huku 😁Kifo cha Willy Ngoma ni cha kimkakati, Wamerekani wameua ili kuuhadaa umma kuwa wako serious kwenye vita hiyo. lakini ni ukweli kuwa m23 ni kundi la waasi lenye sapoti toka kwa haohao Wamarekani kupitia Rwanda. upo nyonyo?
Devide and Rulewamarekani niwatu wajanja sana, wanaanzisha fujo,wanajifanya wasuluhishi,kisha wanamtoa kafara mmoja wao kuonesha wako serious.
Drones iyo!!😁😁😁 Na ukifa Ina kuzika
Hapa Congo ndo anatakiwa aimarishe jeshi lake kupitia uwepo wa Marekani. Sidhani kama Marekani ameingia mzimamzima bali yeye anatoa utaalam wakati watekelezaji wakiwa Congo wenyewe.Sina uhakika kama US Ana interest kuisaidia Congo zaidi ya kuchukua madini, watarudi kwenye civil war hawa
Inaweza kutambua mazingira, inafahamu watu, magari, wanyama , barabara n.k.. hivyo ikikukariri ni imekariri, ni kama chatgpt inavyoweza kufahamu vitu, hivyo inaweza kariri ulivyo vaa n.k😁😁😁 Ina sense na Mawimbi ya mwili wako !?