Recent content by Mukalunyoisa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu bodi ya kahawa azidi kupagawa

    jamani hili nalo ni tatizo kweli siku hizi, ajabu sasa unakuta hapo 'kichwa' cha ukweli ndio kinatimuliwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madudu EPZA: Ubadhilifu, uendeshaji mbovu na wakurugenzi Miungu Watu!

    Ni kweli yapo hayo EPZA wala sio uongo kabisa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madudu EPZA: Ubadhilifu, uendeshaji mbovu na wakurugenzi Miungu Watu!

    Ni kweli yapo hayo EPZA wala sio uongo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madudu EPZA: Ubadhilifu, uendeshaji mbovu na wakurugenzi Miungu Watu!

    Ni kweli yapo hayo EPZA wala sio uongo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Majamaa wanaambukiza mabinti HIV makusudi

    jamani ifike mahali tuache hili neno "una ushahidi" ili hali sisi wenyewe wana jamii tuna ndugu zetu, rafiki zetu, jirani zetu na tunafahamu kabisa hali zao na tunajua/tunaona wanaambukiza kwa makusudi nao utaniambia nilete ushahidi???
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Hivi boss wako nae sio babu eti??
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya NGONO yamponza mfanyakazi wa kike

    Hili nali limekuwa tatizo sugu siku hizi kwa akina dada. tena kuna wakati wenyewe ndio wanaotengeneza mazingira ya kuombwa rushwa ya ngono sijui tuwasadiaje?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Na Padri naye? Aisee

    Ni padri wa kanisa katoliki manzese, ni mkongomani huyo. na ndivyo aluvyo wala hajichubui
  9. M

    JamiiForums Tanzania msaada! kutumia dulcolax kupunguza unene

    Shida ya wadada wengi hawapendi kufanya mazoezi hasa pale anapoambiwa afanye diet na mazoezi. lakini wakati wa kula chips/mayai huwa hatukumbuki kuna kunenepa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    singaile sio kweli na havina uhusiano kabisa na ovulation. Mie Housegirl wangu huwa linamsumbua hivyo lakini anatumia painkillers linatulia. Ingawa nae ameambiwa mpaka atakapozaa litaacha kuuma
  11. M

    JamiiForums Tanzania FASTJET has taken over FLY 540 shares!

    lol! na mie mkulima sasa nitapanda kipeperuko
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi za FASTJET

    Ukishindwa kabisa uliza ilipokuwa ofisi za 540 zamani ndio humohumo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu muafaka kwa watoto wa chekechea

    kha! jamani
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitu kidogo tu wasema LOL!

    jamani The Boss mbona kapatikana hapa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

    jamani mbona ofisi yao ndio iliyokuwa ya 540 ndio mtindo wetu ule ule au?
Back
Top Bottom