msaada! kutumia dulcolax kupunguza unene

cuchi

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
218
195
habar wana jf. Mi binti mwenye miaka 21 ila nina uzito wa kilo 92 nimejaribu njia kadhaa wa kadhaa ili kupunguza huu mwili,ila matokeo yake nimeishia kupata ulcers. Kuna kanishauri nitumie laxatives kama dulcolax ili nipungue, ila sijawah kusikia kitu ka hii, so naomben wataalamu mnisaidie coz siupendi huu mwili, je nikitumia dulcolax nikweli nitapungua?
 
Dan Geoff P

Member
Jan 16, 2012
84
125
Utajiongezea matatizo bure ndugu yangu,tayari ushapata vidonda vya tumbo,,nini kuendelea na njia za aina hiyo,,cha msingi fanya mazoezi ya kupunguza mwili utafanikiwa tu,,pia punguza kula chakula cha wanga usiku na badala yake kula matunda na mboga mboga za majani kwa wingi....dulcolax ni dawa ya constipation na sio nzuri kuitumia kwa kupunguza unene hiyo ni misuse ya dawa. Pole sana.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
35,913
2,000
Mazoezi ndiyo njia nzuri pia yabidi ujijue huo unene umekujaje?Kuna wengine ni wa asili na wengine ni hali ya kuupendelea mwili vitu vizuri mwisho unaumuka.Fanya mazoezi pia kuna mtu humu katumia asali na maji ya uvuguvugu kilo zikapungua nakushauri hebu tafuta hiyo thread nawe ujaribu kutumia.Zingatia ulaji wenye faida pia maji mengi ya kunywa badala ya chakula.
 
Asante let me try and see
 
ndo nimeamza kutumia asali, I hope itasaidia
 
KANYIMBI

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
1,774
2,000
Ukifanikiwa kwenye hiyo asali usisite kutupa riport. Ila kama huo unene ni wa asili yenu, hata ukae na njaa wiki ni kazi bure maana hautapungua. Nakushauri usitumie ducolax maana utaharisha hadi utaipata fresh - japo uzito utapungua ila sio njia nzuri.
 
Mukalunyoisa

Senior Member
Mar 16, 2012
139
0
Shida ya wadada wengi hawapendi kufanya mazoezi hasa pale anapoambiwa afanye diet na mazoezi. lakini wakati wa kula chips/mayai huwa hatukumbuki kuna kunenepa.
 
MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,812
2,000
Mazoezi yanahusika., Ulcer hizo ni kukaa na njaa muda mrefu. Kengine punguza ulaji, kula usishibe.
 
babe S

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
3,881
2,000
Ok usifanye hivyo hii ni ongoing process na kuna njia nyingi salama na natural za kupungua, fanya hivi, na maelezo mengi na ni ongoing, nipm
 
cuchi

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
218
195
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom