FASTJET has taken over FLY 540 shares!

FASTJET has taken over FLY 540 shares!

Wakipewa upendeleo na misamaha ya kodi ili wawekezaji waje na wabaki tanzania wananchi hamtaki. In ni kwamba TANZANIA HAIVUTII WAWEKEZAJI
 
nchi gani mkuu umezunguka?
unafahau bei za ryanair?
the cheapest in Europe compared to SAS, Norwegian.no, british airways nk
bei zao ni za kutupwa ziko chini sana kwa Europe
acha kudanganya umma.

freenewsletter.gif

Cheap Flights - Book cheap flights to Europe with Ryanair
kwa walio Europe wanajua how cheap is it.

Hii ndio kiu tunaita competition in airways industry
taona hawa jamaa wa fastjet watakavoliteka soko la ndani.
Precision nao watashusha sana bei ili kuendana na ushindani

Pamoja na kuwa unaandika kwa kejeli, nakwambia sio kubambikiwa, nauli kama hizo za usafiri wa ndege duniani hazipo, Kwa taarifa yako, Mimi nimetembea dunia hii sana sijawahi kukuta domestic air fare, leave alone international, za chini za usafiri wa ndege kama hizo. Nadhani kuna janja fulani tu ambayo itajulikana baadaye. If this is to be the fare, mabasi ya mwanza yatakufa kwa trip mbili wanazofanye per day. Bahati mbaya hatujuani ningelikutafuta nikakukumbusha!
 
Pia isije kuwa ni majeneza yanayopaa,baado nina tashitwiti kidogo,lakini tuombe Mungu tukiamini wakaguzi wa ubora wa ndege wameifanyia ukaguzi naamini watakuwa wametanguliza maslahi ya wananchi na rushwa imewapitia mbali.Pia kama kila kitu sawa basi huo ni ukombozi hasa baada ya Precison na 540 kutunyanyasa sana kwa bei zao,nasubiria safari za kwenda kukaja Mbeya
Naunga mkono hoja, manyanyaso yalizidi kiwango.
 
nchi gani mkuu umezunguka?
unafahau bei za ryanair?
the cheapest in Europe compared to SAS, Norwegian.no, british airways nk
bei zao ni za kutupwa ziko chini sana kwa Europe
acha kudanganya umma.

freenewsletter.gif

Cheap Flights - Book cheap flights to Europe with Ryanair
kwa walio Europe wanajua how cheap is it.

Hii ndio kiu tunaita competition in airways industry
taona hawa jamaa wa fastjet watakavoliteka soko la ndani.
Precision nao watashusha sana bei ili kuendana na ushindani

Mind angalia ukubwa nchi za ulaya, ni kama mashamba ya wakulima wakubwa. Hivyo kwa nauli za chini inawezekana sana, sio kwa miji ya Dar -Mwanza. For example, London to Birmingham ni km 170- while mwanza to dar is around 850 km. Sasa hiyo ryanair sinaweza kuwa cheap. Ninachosema ni kuwa distance ya mwanza to dar for 20 USD or 32,000 Ths ni ngumu ku-operate economicaly and be sustainable
 
your very wrong man
nani kasema ulaya nchi zake ni ndogo kama mashamba ya wakulima?
nakupa mfano mdogo sana, Norway kutoka oslo kwenda mji wa Trodheim kwa ndege ni dk 50,kwenda hadi mji wa Tromso ni saa moja dk 40 je miji mingine? ni umbali sawa na kutoka arusha hadi Dar, kwa buss ni 8hrs,
sasa ww umetembea wapi hata ukubwa wa nchi hujui?

Norway yenyewe yote ni kama shamba-sq km kama 350 hivi-mara tatu less ya Tz area. Hizo dakika 50 matters less! Ninachoongelea ni bei hizo za ndege! sio ndogo za 20 USD kwa disatnce ya 850 kms. No!!!!!!!!!
 
Tupeni taarifa: Bei halisi ni kiasi gani baada ya kukamilisha kila kitu?
Tusije tukaaibika bure umebeba 32,000/= zako unafika kumbe hazitoshi!
 
Nani ameomba CV zenu za jinsi Mlivyotembea Duniani?
mwisho mtoane roho kwa jambo ambalo hata halina maana sana, mwabishana mwenye FastJet anakula Bata!
wabongo banha!!...teeeeeeeeeeeeeeeeeh!

your very wrong man
nani kasema ulaya nchi zake ni ndogo kama mashamba ya wakulima?
nakupa mfano mdogo sana, Norway kutoka oslo kwenda mji wa Trodheim kwa ndege ni dk 50,kwenda hadi mji wa Tromso ni saa moja dk 40 je miji mingine? ni umbali sawa na kutoka arusha hadi Dar, kwa buss ni 8hrs,
sasa ww umetembea wapi hata ukubwa wa nchi hujui?
 
mkuu fuatilia mada kwa undani
kama umekereka jitahidi nawe usafiri hapa ni kupeana challenge
wabongo tumezidi wivu wa kijinga ndio maana tunalaumu umaskini au kuibiwa kazi zetu.
Nani ameomba CV zenu za jinsi Mlivyotembea Duniani?
mwisho mtoane roho kwa jambo ambalo hata halina maana sana, mwabishana mwenye FastJet anakula Bata!
wabongo banha!!...teeeeeeeeeeeeeeeeeh!
 
Mbona umeleta arguments ambazo zijaziongelea. mimi nasema nauli ya 32,000 Tsh or so. Mbona unasema ninalolisema! Kumbe sio 32,000 DAr-MWANZA. !!!!!!!!! ni 86,000, 135,000, 160,000 one way ticket .

By the way mbona unaongea na hasira as if una fundo na mimi?

Hizo ndo arguments ulitakiwa kuwa unazijua hata kabla hujaanza kulalama juu ya bei ndogo. Sh 32,000 ukiweka kodi za uwanja (kama 11,000) inakuwa 43,000 one way. Sasa nimekwandikia DARMZADAR 86,000 ugumu uko wapi. DARMZADAR manake ni reurn ticket.... Mashirika mengi ya ndege huko duniani (kama hapa kwetu) hayana bei moja hatakama wote mpo daraja sawa...Bei ya 32,000 ni sawa na wanaokwambia fly to Dubai from Usd 300, wakimaniisha kuna bei zaidi ya hapo.

Ni kweli niliudhika kwa wewe kusema Umetembea Duniani na hakuna nauli kama hizo wakati ushahidi upo wazi kwenye mtandao kuhusu nauli za ndege.
Kwa sababu mtu mwenye akili akijua nawe (JF) una akili lakini akakwambia jambo la kijinga na ukakubali mtu huyo atakudharau...

Nashangaa hivyo tu umesafiri duniani na hujui tofauti ya haya maswala ingekuwaje kama usingeruzukiwa fursa hiyo????
 
Hebu nipe bei halisi mkuu! make wanatangaza 32 elfu, kwingine nasikia kuna kulipia VAT, viburudisho na vingine vingi tu!

mkuu fuatilia mada kwa undani
kama umekereka jitahidi nawe usafiri hapa ni kupeana challenge
wabongo tumezidi wivu wa kijinga ndio maana tunalaumu umaskini au kuibiwa kazi zetu.
 
Hebu nipe bei halisi mkuu! make wanatangaza 32 elfu, kwingine nasikia kuna kulipia VAT, viburudisho na vingine vingi tu!

wabongo tusije tukawa wanatuhadaa mwisho wasiku unajikuta unalipia gharama zilezile kama za PRecision!

mkuu fuatilia mada kwa undani
kama umekereka jitahidi nawe usafiri hapa ni kupeana challenge
wabongo tumezidi wivu wa kijinga ndio maana tunalaumu umaskini au kuibiwa kazi zetu.
 
Back
Top Bottom