Na Padri naye? Aisee

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
522
195
Aisee, na padri naye anatumia mkorogo?
Inasikitisha, sijui ni MCongoman huyu?

 

Attachments

  • Mchungaji na mkorogo.JPG
    File size
    70.7 KB
    Views
    1,672

Suzy M

Member
Oct 26, 2011
14
20
Mmhh!hawezi kua padri!HAIWEZEKANI may be hao ni wasanii and they were acting a movie or something
 

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
522
195
Sio picha ya maigizo hii.
Hii ni kweli, huyu ni padri/mchungaji (sina uhakika wa dhehebu gani), hapa alikuwa anafungisha ndoa ya mpendwa.
Hakika siku hizi urembo wa ngozi ni changamoto kwa sisi wote wake kwa waume, cheers!Mmhh!hawezi kua padri!HAIWEZEKANI may be hao ni wasanii and they were acting a movie or something
 

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,142
2,000
Si kila aliyebadilika rangi amejichubua jamani. Nina rafiki yangu ana fungus zinamsumbua miaka, Aga Khan wamempa midawa hiyo ukimuangalia maeneo yote ambayo anafunikwa na nguo ni mweupe pyee na maeneo yanayokuwa wazi wakati mwingi ni mweusi mweusi hususan kwenye viganja
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
25,029
2,000
Hizi ni nyakati za mwisho ndiyo wakati wa kujipenda wewe mwenyewe kuliko kumpenda MUNGU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom