Recent content by mughosia

  1. mughosia

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua PAYE ya mwenye mshahara wa Tsh.1,000,000/=

    Poa mkuu...
  2. mughosia

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua PAYE ya mwenye mshahara wa Tsh.1,000,000/=

    Jamani naomba anayejua paye ya mwenye mshahara wa approx Tsh.1000,000/= Maana huku kijiweni tumebishana hadi makoo wamekauka....
  3. mughosia

    JamiiForums Tanzania Siasa ya UKAWA imekomaa?

    1: Nchi hii ni tajiri sana haitaji MCC. 2: Bila MCC wananchi watakula majani. 3: Wanaotumbuliwa wanaonewa na sijapenda kabisa. 4: Kazi ya kugawa pesa ni ya bunge na si rais. 5: Nimeshinda kwa 62%. 6: Nimeibiwa kura. 7: Tulishindwa uchaguzi mkuu kwasababu ya migongano na rushwa kwenye...
  4. mughosia

    JamiiForums Tanzania Je kuna combination zimefutwa kidato cha Sita?

    waTz wengi vilaza kweli,haujui kiingereza unaandika Combi,ndo nini sasa? acha uzinguzi nenda shule.. Andika combination.
  5. mughosia

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume akishikwa makalio huwa anahamaki?

    meanless/nonsense discussion
  6. mughosia

    JamiiForums Tanzania Kama una mdogo wako/ndugu yako/ama wewe hii inakuhusu.

    nyie ndo matapeli,unasolve je integrals bila kufundisha mtu, acha mazingaombwe
  7. mughosia

    JamiiForums Tanzania Ni uongo upi mkubwa zaidi umewahi kuambiwa?

    Usichezee ccm wewe hiyo ina piga kama YANGA vile
  8. mughosia

    JamiiForums Tanzania Ni uongo upi mkubwa zaidi umewahi kuambiwa?

    wataisoma namba CCM mbele kwa mbele.
  9. mughosia

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuacha kazi mlifanyaje? Nataka kuacha

    ni vyema sana kuacha kazi bcoz utakuwa tajiri kama bill gate.Pia acha na dini kabisa
  10. mughosia

    JamiiForums Tanzania EWURA haina msaada kwa Watanzania, bora ifutwe tu

    Tunaangalia stoke ya mafuta mkuu
  11. mughosia

    JamiiForums Tanzania USHINDI WA UKAWA DAR;TUSUSHANGILIE KUFWATA MAOVU YA CCM.TUTAWASWEKA NDANI

    tujitahidi kuzungusha mikono na tusifanye kazi mayor atatulisha ...
  12. mughosia

    JamiiForums Tanzania EWURA haina msaada kwa Watanzania, bora ifutwe tu

    unakosea kusema EURA haina faida kwa watanzania SEMA HIVI eura haina manufaa kwa wanaUKAWA maana nyie ni wapinga maendeleo ya nchi hii......Naikubali EURA,huwezi shusha mafuta bcoz ww umenunua passo 1989. lazima ihakikishe inapandisha makusanyo ya nchi.
  13. mughosia

    JamiiForums Tanzania Kirefu cha MV huwaga ni nini?

    mabadiliko vimamvi
  14. mughosia

    JamiiForums Tanzania Kirefu cha MV huwaga ni nini?

    maji Viombo
  15. mughosia

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta duniani imeshuka, Tanzania bado bei ipo palepale

    wabongo baana mnalalamika afu hamjui chochote, maana yaliyoshuka ni crude oil ambayo impact yake itaonekana 3 coming months. HUIPENDI TZ HAMA NCHI USILETE SIASA ZA KUZUNGUSHA MIKONO KWENYE technical issues.
Back
Top Bottom