Siasa ya UKAWA imekomaa?

mughosia

Member
Jan 15, 2016
25
5
1: Nchi hii ni tajiri sana haitaji MCC.

2: Bila MCC wananchi watakula majani.

3: Wanaotumbuliwa wanaonewa na sijapenda kabisa.

4: Kazi ya kugawa pesa ni ya bunge na si rais.

5: Nimeshinda kwa 62%.

6: Nimeibiwa kura.

7: Tulishindwa uchaguzi mkuu kwasababu ya migongano na rushwa kwenye chama chetu.

Hizi ni baadhi za kauli za viongozi wa UKAWA.
 
Hahaha,aisee umepiga msumari kweli.
Yaani wanaona watu woote watoto,ila wanawapata wale wameojua mambo ya Siasa kuanzia miaka ya 2010,maana ndio mambulula
Sasa kama wao walishinda mbona hawakususa kama walivyowashauri wenzao wa CUF wasuse ili wapotee
.CUF wamesema haitambua Serikali ila Chadema wanaitambu Serikali.Vituko kweli aisee hawa Nyumbuzzz
Halafu wanaona watu woote wajinga,kwani MCC ilivyozuia karibia US$ 800m kenya,mbona hawakula majani.
Na Mbona waliwahi kuzuia misaada kipindi cha nyuma na watu hawakula majani na maisha yanaendelea.tatizo hata wao wenyewe kumbukumbu hawana.Wanaona Wanachama woote akili zao ni kama zile za wazee wa Kuandamana miaka ya 2005 kushuka chini.
Majipu yataingia mpaka kwao,wasubirie muda ufike tu,hawatoki,maana tunawajua.Sasa ndio wanajilinda.Wazee wa Richmond leo wamesafisha,siwashangai saana kumlinda bosi wao,maana wao ni wasakatonge tu
 
sio vizuri kuwaponda nchi yeyote duniani maendeleo yake huja kutokana na wapinzani kichama, Ni vizuri kuwashukuru kwani baadhi ya hoja zao zinatekelezwa na zinafanyiwa kazi, kwa upande mwingine wanafanya viongozi wetu wasijisahau.
 
sio vizuri kuwaponda nchi yeyote duniani maendeleo yake huja kutokana na wapinzani kichama, Ni vizuri kuwashukuru kwani baadhi ya hoja zao zinatekelezwa na zinafanyiwa kazi, kwa upande mwingine wanafanya viongozi wetu wasijisahau.
Ni kweli mkuu,walifanyakazi kwa mazoea sana,stuastua imewaweka sawa.Ila wapizani nao waache kutupotosha saana kivile aisee,wengi tumeenda shule,sasa wasidhani mambo yaleee ya 90s
 
1:nchi hii ni tajiri sana haitaji mcc
2:bila mcc wananchi watakula majani
3:wanaotumbuliwa wanaonewa na sijapenda kabisa
4:kazi ya kugawa pesa ni ya bunge na si rais
5:nimeshinda kwa 62%
6:nimeibiwa kura
7:tulishindwa uchaguzi mkuu kwasababu ya migongano na rushwa kwenye chama chetu.
Hizi ni baadhi za kauli za viongozi wa UKAWA
Maneno ya kisiasa tu hayo!
 
Back
Top Bottom