Kama una mdogo wako/ndugu yako/ama wewe hii inakuhusu.

Son of King

New Member
Feb 17, 2016
4
1
Kama una ndugu au mdogo wako au wewe mwenywe. Tumeamua kuwasaidia wanafunzi wa kidato cha 4 na 6 kuanzia mwezi April 30.

Tutakutana kwa ajiri ya ku solve maswali tu ili kukuandaa na mtihani wako wa mwisho.
 

Attachments

  • IMG-20160309-WA0005[1].jpg
    IMG-20160309-WA0005[1].jpg
    133.2 KB · Views: 25
Huyo ambae hajajifunza/hajasoma hadi leo unadhani anayo nia ya kufanya mtihani kweli?? Sasa hivi ni muda wa kuongeza ujuzi kwa kufanya maswali mengi sio kuanza kujifunza
 
Back
Top Bottom