Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Hawa jamaa ni ktk mashirika yanayojilipa hela nyingi sana kwenye mishahara yao na posho zao. CAG imewahi kushauri kuwachungulia na kurekebisha hilo as if wako Marekani.
Pamoja na pesa hizo awa jamaa awako kwa ajili ya msaada wa watsnzania na serikali kwa jumla.. NILISHAWAHI kusema humu kuna jamaa wa vituo vya.mafuta wamefungiwa mashine za efd mojakwamoja kama makaratasi ayapo unakuta mashine aitoi mafuta eg.. TOTAL pale Mlimani city.
Lakini utakuta vituo vingi EFD wanatolea mkononi.. Huu ni uozo kama mko sababu ya serikali kwanini basi msisimamie kila pampu za mafuta ziwe connected na TRA Mashine...
Kama haitoshi hawa jamaa wanajua kabisa kabisa baadhi ya vituo vinaibia wananchi kwa kutoa upepo lakini pamp inasoma kama kawaida.. Kuna mkubwa alishatokewa wakajifanya kufungiwa baadhi ya vituo ukweli hawa jamaa wanajua wezi wanaochakachua mafuta. Wanajua wezi wanaoibia watanzania na pampu zao feki kwa kutoa upepo n.k.
Mhe Rais Magufuli embu anza na haya majipu yanaumiza kichwa sana.
La mwisho kuwasaidiaa, jamani mafuta yameshukaa sana bei nendeni uganda rwandaa ambao wanapitisha mafuta bandari yetu ni bei rahisi kuliko sisi.
Embu mh raisi turudishien tpdc menoyake wapeni vitendea kazi tuachane na hizii sanii zakila sikuu mnaiita mamlka mamlaka za......Mafuta yameshuka sana jaman nendeni mka google hawa jamaa hawashushi sababu kuna wahusika wako na hizo vitui vya mwfuta na wengine wanakula per month vituoni na wengine wana undugu na wenye vituo vya mafuta.
Mhe Rais embu anza na haya majipu why tuteseke hivi. Lini mafuta yatashuka tanzaniaakuendana na sokola dunia.