Recent content by Muchaga

  1. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni nywele!!!

    Mwanaume ni chanuo au
  2. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Established website for inahitajika

    Habari zenu ndugu ! Ninahitaji established website with at least 10,000 views. Kwa yeyote willing to put his/her website in market tuwasiliane PM. Ahsanteni.
  3. Muchaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kumkwepa huyu binti

    What goes around comes back around ..
  4. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Ifikie wakati sasa watanzania tuache unafki wa kumfurahia Joti na uigizaji wake wakishoga

    Asha ngedere na ushoga wapi na wapi ??
  5. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Magesa Mulongo na mti upindao

    Alikua DC wa Bagamoyo Mpaka akatuma polisi kukagua nyumba za watu usiku. Jamaa anatabia ya ajabu sana ! Na kuiba simu za watu.
  6. Muchaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunapendana, tatizo ni umri na dini, naombeni ushauri

    Life expectancy ya mwanaume ni aproximately 75 yrs Na mwanamke ni 81 yrs no worries mtazeeka pamoja. Umri sio ishu. Dini mmoja wenu akubali kubadili tu!
  7. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji na Utapeli benki ya CRDB

    Its about time hii Benki ibadilishe mfumo wake wa kuhudumia wateja. Walishanisumbua sana kwa zaidi ya miezi minne kutatua kashida kadogo ambacho kanatatulika in ten minutes. HAWAKO MAKINI KIUTENDAJI
  8. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Huo ujuzi sio shida.
  9. Muchaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa siku hizi waongo kwelikweli

    Ishu nyingine tunazilea waTanzania wenyewe. Unakuta watu wanaona dili sana kuwa na asili ya nchi nyingine. Au mtu akidai sijui mkenya, mganda ..nk Wabongo wanashoboka sana Ambapo it's utter ignorance
  10. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Anza kuuza mawazo yako basi.
  11. Muchaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wasichana wenye elimu wana kiburi?

    Kwa kifupi tu... Kiburi na tabia ya mtu
  12. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Ladies tubadilike: Style mbalimbali za upakaji wa rangi za kucha

    Very hot in deed Zinapendeza sana hasa in christamas season
  13. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Je, ujauzito wa mwezi mmoja unahesabika kama kiumbe?

    Its an embryo
  14. Muchaga

    JamiiForums Tanzania Mmewahi kujiuliza ni kwanini Mzee Mwinyi hadhihakiwi, hakejeliwi wala kutukanwa na yeyote?

    Ebu kasome historia ya nchi vizuri .
  15. Muchaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Marekani mna nini?

    Kwa kweli Ikungu state. Coz una shop versace . And get ur groceries at Walmart. [emoji51][emoji51][emoji51] Am pretty sure wabeba box can do better than that .
Back
Top Bottom