bendee
Senior Member
- Feb 21, 2013
- 111
- 146
Kwa kweli ifikie wakati tuchukuwe hatua ya kuchukia vitendo vya kishoga si tuu kwa kuwachukia mashoga bali hata vitendo vinavyo ashiria ushoga, why Msanii mkubwa kama Joti anayeigiza kama shoga siku zote na hatulalamiki wakati tunajua fika kwamba Msanii ni kioo cha jamii!
Sasa Joti anapoigiza kama Shoga hivi anawafundisha nini watoto wetu!
Serekali ipige marufuku kabisa usaniii wa kijoti!
Sasa Joti anapoigiza kama Shoga hivi anawafundisha nini watoto wetu!
Serekali ipige marufuku kabisa usaniii wa kijoti!