Kapewa mapigo makali ya kuumiza moyoNi kweli kabisa mkuu, mungu daima uwa anajibu kilio cha wanyonge
RC wa Bagamoyo ?au DC wa Bagamoyo ?Huku kwetu kuna msemo unaosema whatever goes around comes around nahisi utakumbuka ulichowafanyia wafanyakazi wenzako zaidi ya 5 wakati ni RC wa bagamoyo..
Huku kwetu kuna msemo unaosema whatever goes around comes around nahisi utakumbuka ulichowafanyia wafanyakazi wenzako zaidi ya 5 wakati ni RC wa bagamoyo..
Nikweli kabisa mkuu maana malipo ni hapa hapa duniani na sasa anavuna alicho kipanda kwa binadamu wenzake, kumbuka wale wapiga kura walio mchagua wenje jinsi walivyo sononeka baada ya matokeoKapewa mapigo makali ya kuumiza moyo
Labda ahamie UDP au TlpAkihamia upinzan itakuwaa balaaa kubwaaaa#
Jamaa alijiona mungu mtu. Matamshi yake yalikuwa na ukakasi sana. Labda atatafutiwa kazi nyingne
HahaaaaTupatupa acha kumfanyia kampeni huyu Magesa Mulongo. Huyu ni kati ya Wakuu wa Mikoa wa ovyo sana. Kwa sasa Mkuu wa Mkoa wa ovyo aliyebaki hapa nchini ni Paul Makonda.
Huyo hana shida yeyote ana masters degree ataenda fundisha saut ama jk nyerere university butihama na maisha yatakuwa super tu