Think Hard
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 318
- 303
Habarini za jioni waugwana,
Ninapenda kutanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakaenisaidia.
Ndugu zangu nina shida ambayo naamini wataalamu wa biashara wanaweza kunisadia - Katika kipindi hichi kigumu kwa wafanyabiashara walio wengi, ningependa kuomba ushauri na msaada wa wazo la bishara gani nifanye.
Ninataka nifanye biashara lakini mtaji wangu nikama 10-18 Milioni- Wataalamu mnisaidie, ni biashara gani nawezakufanya na ikanipa matokeo chanya kwa mda mfupi?
Nitashukuru sana kwa mawazo yenu.