tereweni
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 617
- 361
Binki ndo nini?,Nasikia eti binki ya huko China walichapwa viboko hadharani aiseeee...
Binki ndo nini?,Nasikia eti binki ya huko China walichapwa viboko hadharani aiseeee...
Kwa ninavyoijua Newala, hakuna tawi la CRDB,,,,,,,,,,,,labda kama limefunguliwa mwezi uliopita.kwahyo unasema jamaa kakurupuka.
Sawa mkuu..Mahakamani unazunguka sana na ww, aliyekatwa aende branch atapata msaada, kuna maexpert kibao wa izo kitu huko branch.
Mungu nakushukuru kwa kukataa kumiliki silaha ya moto.Kuna rafiki yangu ambaye ni mtumishi miezi minne iliyopita aliomba mkopo wa milioni 10 CRDB tawi la Newala (Mtwara) na akajaza kila kitu. Siku zikasonga bila kuambulia chochote na baada ya mwezi 1 hivi walimwambia wamesitisha huduma za mikopo hivyo afuate viambatanisho vyake.
Siku aliyovifuata wakamwambia wameamua kushughulikia maombi ya nyuma (likiwemo ombi lake) hivyo avute subira atapata. Sasa chaajabu mwisho wa mwezi uliopita wamemkata mshahara lakini hajawekewa mzigo..... Mwezi huu pia wamelamba ila mpaka sasa hajawekewa. Wale wataalamu wa mambo ya sheria hili limekaaje?
Du, hebu nipatie source na mie nishuhudie viboko mkuuSawa mkuu..
Lakini wale wafanyakazi wa Bank huko China walichapwa viboko hadharani aiseeee
Typing error mkuu (Bank)Binki ndo nini?,
Chanzo BBCDu, hebu nipatie source na mie nishuhudie viboko mkuu
Alifanya process zote akiwa Newala kwenye gari lao then alipokamilisha wakamwambia wameshatuma maombi yake Mtwara mjini hivyo taarifa zote huwa anaenda kuzipata NewalaKwa ninavyoijua Newala, hakuna tawi la CRDB,,,,,,,,,,,,labda kama limefunguliwa mwezi uliopita.
Mkuu naona umechanganya kitu hapo,kwa habari zilizopo crdb hawana branch newalaKuna rafiki yangu ambaye ni mtumishi miezi minne iliyopita aliomba mkopo wa milioni 10 CRDB tawi la Newala (Mtwara) na akajaza kila kitu. Siku zikasonga bila kuambulia chochote na baada ya mwezi 1 hivi walimwambia wamesitisha huduma za mikopo hivyo afuate viambatanisho vyake.
Siku aliyovifuata wakamwambia wameamua kushughulikia maombi ya nyuma (likiwemo ombi lake) hivyo avute subira atapata. Sasa chaajabu mwisho wa mwezi uliopita wamemkata mshahara lakini hajawekewa mzigo..... Mwezi huu pia wamelamba ila mpaka sasa hajawekewa. Wale wataalamu wa mambo ya sheria hili limekaaje?
Kupeleka mbele wapi mkuu maana huo mkopo unaanzia makao makuu na wanao fanya makato ni makao makuuUshahidi kama upo afike kwa Meneja wa Tawi amwelezee hiyo ishu nzima ataona jinsi meneja atakavyo mwangukia asifike mbali wala asipeleke mbele hii ishu
Mkuu hapa hutakiwi kumlaumu huyo mleta mada,ujue elimu haina mwisho ni jambo la kupeana mawazoUnajua mie nashangazwa na malalamiko ya waTZ ambayo hayana msingi, wewe kama umekatwa tuu kwenye a/c sa unasubiri nini badala ya kwenda pale na statement yako uclaim ulichokatwa uone kama hawatarudisha;
Jamaa katuingiza kingi kianaUsinambie hadi Newala kuna CRDB,! Basi sawa.
Hakuna CRDB labda wamefungua wiki iliyopita na lile gari lao la mobile banking huwa linaishia Tandahimba nahisi.Kwa ninavyoijua Newala, hakuna tawi la CRDB,,,,,,,,,,,,labda kama limefunguliwa mwezi uliopita.
Okay, kama ni hivyo sawa.Alifanya process zote akiwa Newala kwenye gari lao then alipokamilisha wakamwambia wameshatuma maombi yake Mtwara mjini hivyo taarifa zote huwa anaenda kuzipata Newala
Itakuwa labda siku hizi linafika.Hakuna CRDB labda wamefungua wiki iliyopita na lile gari lao la mobile banking huwa linaishia Tandahimba nahisi.
Its about time hii Benki ibadilishe mfumo wake wa kuhudumia wateja. Walishanisumbua sana kwa zaidi ya miezi minne kutatua kashida kadogo ambacho kanatatulika in ten minutes.Kuna rafiki yangu ambaye ni mtumishi miezi minne iliyopita aliomba mkopo wa milioni 10 CRDB tawi la Newala (Mtwara) na akajaza kila kitu. Siku zikasonga bila kuambulia chochote na baada ya mwezi 1 hivi walimwambia wamesitisha huduma za mikopo hivyo afuate viambatanisho vyake.
Siku aliyovifuata wakamwambia wameamua kushughulikia maombi ya nyuma (likiwemo ombi lake) hivyo avute subira atapata. Sasa chaajabu mwisho wa mwezi uliopita wamemkata mshahara lakini hajawekewa mzigo..... Mwezi huu pia wamelamba ila mpaka sasa hajawekewa. Wale wataalamu wa mambo ya sheria hili limekaaje?
Kwa kweli CRDB ishughulikiwe unaweza omba mkopo ikachukua mwaka mara ooh hela za hiki zinay=takaiwa mara ooh hiki kinatakiwa, mara ooh wamesitisha! Hawaeleweki!. BOT fuatilia hili ni jipu!Hili ndio tatizo kubwa, and alarming.
BOT msilale sana