Du!! Difficulty allowance!! Sijawahi sikia kitu km hicho ktk Kiingereza!! Moderator tafadhali saidia hapa lugha gongana!! Huwa tunaita "hardship allowance!! "Kweli nimeamini-"the borrowed garmet always does not fit the buttocks" Upo hapo wewe??
Du!! Difficulty allowance!! Sijawahi sikia kitu km hicho ktk!! Moderator tafadhali saidia hapa lugha gongana!! Huwa tunaita "hardship allowance!! "Kweli nimeamini-"the borrowed garmet always does not fit the buttocks" Upo hapo wewe??
Hakianani, yaani Madiluu umenichekesha kweli kweli. Na jinsi Mwalimu alivyosepa, na hata askari alivyo kusheet eti mkimbizi, mimi mbavu sina!! Hebu nikumbushe maaana ya maneno haya:
1. Paradiso.
2, Nzere
3, Pie mboyo,
4. Apura.
Masongi hayo ya the late Madilu System huniacha hoi sana!! Pia...
Funga mkanda, kwani mambo ya imani ni magumu sana!! Pia jiandae kula viporo siku za week end kwani wasabato ikifika Ijumaa jioni hakuna kupika mpaka sabato ya bwana ipite!! Teh, teh, teh, teh!!
Du!! Hekaya za Abunuasi!! Katika send off tunakuwa na best mana ama Matron?? Naona kinyaa kuchangia kwani uongo huo hauna mashiko katu!!
Muona Erick akupe angalizo katika utunzi wa hadithi!!
Hii Thread nimeipenda sana, pia ina mafunzo megi tu!! Nadhani wakati umefika sasa lazima tuseme BIG NO katika michango ya harusi!! Lazima tuwe na pa kuanzia!! Unadai michango kama uliniwekesha pesa sasa unataka nikulipe?? Tuache upumbavu huo?? Ndo maana wa-TZ tuko nyuma KI-ELIMU sana...
Nadhani, ni vyema kabisa tunapochangia kuangalia matumizi ya lugha, la sivyo uchangiaji utakosa maana kabisa!! Kwa nini uandike lugha inayochanganya?? Je, unamaana gani?? Ukiaandika Kiswahili, andika Kiswahili, km unaandika Kiingereza andika Kiingereza!! Tuache mara moja kulete utani wa...
Absolutely true!! I strongly support you [Mkombozi]. Both parents have equal chance, and whenever a kid / kids succeed s/he must ironically praised her/his parents. A wise kid always remember the contribution of her/ his parents!! Probably, we better asked the former commentor, have you raised...
Wewe unawaza kula kula tu??? Mbona huzungumzii elimu bure alotoa Mwalimu, kila mtu alisoma alivyoweza yeye ndo maana tukapata Ma-Professors, Ma-Doctors tena wengine walikwenda nje ya nchi kupata PhD za kwa jasho, ama kodi yetu!! Nchi ilisheheni viwanda, na rasilimali zetu hazikuibiwa hovyo...
Mkuu, nadhani unachokisema si sahihi kabisa!! Yawezekana una "rely on hear say" As per Institutions of Higher Learning, UDSM being one of them when it comes to administration of examinations there are the following things to be adhered with:
1. Rates for setting examination papers.
2. Rates of...
Thanks a lot our neigbour Kenyanians for helping our colleagues stranded at Tripol - Libya. But i would like to ask one question specifically to those goverments related to countries whereby our stranded colleagues originates. Where were they before our Kenya counterparts intervene into the saga...
Mkuu wajua kuna watu wanafikra finyu sana!! Yaani wao wako very negative kwa kila kitu!! Hawa twawaita Pessimistic!! Huwa wanaupeo mdogo sana wa kufikiri. Huwa wana mtazamo wa pua!! Pia wameridhika hata kama wanageuzwa manamba katika nchi yao wenyewe!! Hao watu ni hatari sana!! Yatakiwa uwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.