Mzazi yaani baba hatuna thamani kwa watoto wetu

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Naangalia tuzo za music za kilimanjaro.Wasanii wengi wamewakumbuka mama,na wametoa tuzo zao kwa mama zao,hata kama amekufa pia.Ila mi ninachojua mafanikio ya mtoto na familia bora inategemea sana msimamo na uongozi thabiti wa baba.Baba ana mchango mkubwa sana kwa mtoto.Mama atamwonea huruma mtoto hata kama ametenda kosa la kumrekebisa.Leo sijasikia hata mwanamziki mmoja akimkumbuka baba yake.Kwa maana hiyo baba hata umfanyie maendeleo gani mwano bado hautatambulika.Wakuu mnalionaje hili?
 
wOTE WALE walilelewa na single parents..mama...i suppose!


NOt neccessarily. The truth of the matter is even within families where both parents are around , mama mostly ndiye anayekuwa closely attached and available to the kids. Wababa wengi kwenye family usually raise the kids at a distace, i.e. through instruction via the mother.

Mkombozi:
You are wrong! Both parents are equally as important and are vital for the well being of the children
 
Mimi bwana katika hili nadhani wameamua kufanya hivyo kwa kuwa mama zao waliwanyanyasa sana wakati wa makuzi yao na walikuwa hawataki kukubali kipaji watoto wao walicho nacho sasa wameamua kutoa zawadi ili wajue wanaweza.
 
Mama ndio kilaki2,mfano unaumwa sana na dawa ni kat ya mzazi m1 kula kinyec mama ndio ataweza ili mwanae upone,kwa mfano huo nipo pamoja nao.
 
Iguess
Ndivyo ilivyo
Ndivyo ulivyokuwa
Tangu Kipindi kile cha Yesu Kristo..
 
Baba unaweza kusaidia kwa mahitaji, lakini tabu na maumivu anayapata Mama. Yeye ndie aliyempa mapenzi, ukaribu, matunzo tangu siku ya mwanzo tumboni. Kwa hiyo kiwa watambuliwe wote kama Wazazi ni sawa, lakini kwa watoto wengi (sisemi wote) anayemkumbuka mwanzo ni MAMA.
Mungu awabariki mama zetu.
 
Baba na Mama,ni yupi bora..hapa tutafika mbali

anyway wengi wao (wasanii) wa jana naamini ama walifata mkumbo..ama walikuwa bias
 
Hakuna kama mama! Baba umeanza ku interact nae baada ya miezi 9 ila mama toka day 1
 
wanasikitisha!
Mama hupewa first priority kuliko baba kwenye sehem husika....si wakti wa kuwashukuru wazazi.
Hata hivyo siwezi kuwahukum kwa maadili yangu...wakati nao wametuonesha maadili yao.
Kikubwa ni kuwaelekeza maadili mema hata kama kitumbua kitatumbukia kwenye mchanga.
Majaa pipo(jah people) nao walimshukuru Mungu.
Sikujua ni mungu yupi?
Any way...ndio award yao.
 
Ina maana hakuna aliyesema anashukuru wazazi wake wote?
Hak.....!
Ni aibu kumkana mzazi yeyote hata kama hukupata msaada wake...wazazi wengi wa kike ndio chanzo kuwaweka mbali na wazazi wao wa kiume...kwa faida zao akina mama!
Jambo la umuhim kwako mtoto jua bila baba'ko usingepatikana kwa mama'ko & vice versa.
Huko ni kuchanganyikiwa kisaikologia!.
Leo yeye kamsahau baba'ke ...hajui nae kesho atakua baba?
Amejitazama vizuri!!
Au ndio bora liende?
Shammmmme!!!
 
Mama ndio kila kitu..
Mh!
Basi muwe mwatufunza mema hata kama mnazozana kimaslahi na baba...hata kama umeachwa mtufunze mazuri sio kutujengea chuki kwa baba!
Kwa majungu mama zetu mwaongoza....sijui iweje?
........of interest.
 
Mh!
Basi muwe mwatufunza mema hata kama mnazozana kimaslahi na baba...hata kama umeachwa mtufunze mazuri sio kutujengea chuki kwa baba!
Kwa majungu mama zetu mwaongoza....sijui iweje?
........of interest.

tatizo watoto wa siku hizi adabu zenu zimevaa bikini.
Sisi enzi zetu miaka ya 1940 tulikuwa tunawatii sana wazazi wetu.
Watoto tulieni mnatupa presha na kisukari jamani.
 
wazazi wote wanathamani mbele za Mungu!! hakuna aliyemuhimu kuzidi mwingine mbele za Mungu, amri ile ya tano inasema hivi "Waheshimu baba yako na mama yako upate heri na miaka mingi duniani" naowaonea huruma wale wanaomuheshimu mama peke yake, inamaana wanaivunja amri ya Mungu watajibu siku ya hukumu!!!
 
NOt neccessarily. The truth of the matter is even within families where both parents are around , mama mostly ndiye anayekuwa closely attached and available to the kids. Wababa wengi kwenye family usually raise the kids at a distace, i.e. through instruction via the mother.

Mkombozi:
You are wrong! Both parents are equally as important and are vital for the well being of the children

Absolutely true!! I strongly support you [Mkombozi]. Both parents have equal chance, and whenever a kid / kids succeed s/he must ironically praised her/his parents. A wise kid always remember the contribution of her/ his parents!! Probably, we better asked the former commentor, have you raised by a single parent?? If yes, and probably happened to be your mother that raised you, definately you wont see the role of your father because in reallity you do not know him!! But, the other way round holds water!! If and only if you have been raised by your mother, while your father has completely ignored you, and this always happened if you have been born out of the weddlock, you are absolutely right to praised your mother!! In reality, the truth remains!! The role of parents [Father and Mother] cannot be ignored at all, unless your insane!!
 
Sidhani kwamba wanakuwa hawawajali baba zao ila inatokea tu, huoni hata ukijikwaa ghafla utasema tu mama yangu! nafikiri inatokea tu naturally unamkumbuka mama kwanza na si kwamba humpendi baba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom