Competence of muccobs graduate!

Competence of muccobs graduate!

Hivi mwanzisha thread alikuwa na ujumbe gani ?.Tukianzia hapo labda tutapata cha kuchangia.
 
peleka this crap kwenye jukwaa la elimu,yani nimegundua vibenki vingine havipigi hatua coz wana upendeleo wa kijinga,wanafunzi wa muccobs wataendelea kujaza ujinga wao AKIBA,na haka ka benki kataendelea kubaki nyuma 2.
ukitaka kujua check digrii ya procurent na sehemu walipo wana muccobs hazina na sehemu mbal2 so c akib2. Ubora uko juu
 
Hivi mwanzisha thread alikuwa na ujumbe gani ?.Tukianzia hapo labda tutapata cha kuchangia.
uelewa wako mdogo rudi kwenye heading coz ni ishu ya sanaa ya uandishi, pole kwa kutokuelewa
 
huyu jamaa anajaribu kuipa promo muccobs lkn wap?nyie mtaendelea kuajiriwa na akiba 2 period
 
huyo mtu wa jana ulimjibu haya? Kama ulimjibu sidhani kama kulikuwa na haja ya kuanzisha tena thread otherwise kama upo kwenye matangazo.
no sisy c matangazo jct kushare idea 2, kuna wa2 wanazan mi mgen c mgeni kuna jina nlikuwa nali2mia la jobless so nmeliacha coz nmepata kazi sa naitwa blessingme. Huoni kama inapendeza sisy thanx
 
huyu jamaa anajaribu kuipa promo muccobs lkn wap?nyie mtaendelea kuajiriwa na akiba 2 period
unajua promotion wew, kama hujui ngoja nkwambie unaweza uka2mia advertisement cja2mia hapa ni haja mchanganyiko, public relation cja2mia, direct selling cja2mia na last personal selling cja2mia sa ni promo ipi kaka, au hujui matumiz ya promo
 
no sisy c matangazo jct kushare idea 2, kuna wa2 wanazan mi mgen c mgeni kuna jina nlikuwa nali2mia la jobless so nmeliacha coz nmepata kazi sa naitwa blessingme. Huoni kama inapendeza sisy thanx

kumbe ni wewe jobless. Hongera kwa kupata kazi.
Inawezekana kweli lengo lako ni kushare idea ila namna ulivyopresent umetuchosha.
Nimekuelewa lakini. Siku njema.
 
huyu jamaa anajaribu kuipa promo muccobs lkn wap?nyie mtaendelea kuajiriwa na akiba 2 period

yaelekea jamaa hata alipokuwa kwenye hicho chuo alikuwa anajaribu kuisifia previous school aliyotokea. maana yaelekea kapata kazi akiba kakisifia MUCCoBS na akipata Redundancy sijui ataisifia akiba bank au ataiponda! ngoja wadau tusubiri yatakayojiri
 
Nina wasiwasi na graduates wa MUCCoBS wanaofundishwa na mtu mwenye degree moja
kaka umbea ha2taki evidence pleaz, hv kwel inawezekana na Tcu waangalie tu, pale kuna diploma, na certificate labda certificate, ila ckatai tcu inaruhusu tutorial asst kufanya seminer kwa digrii sa we huelew au umbea2
 
Nina rafiki yangu anasoma pale mwaka wa 2 analalamika kufundishwa na vilecture uchwara vyenye degree moja tena vimemaliza 2 years back
 
yaelekea jamaa hata alipokuwa kwenye hicho chuo alikuwa anajaribu kuisifia previous school aliyotokea. maana yaelekea kapata kazi akiba kakisifia MUCCoBS na akipata Redundancy sijui ataisifia akiba bank au ataiponda! ngoja wadau tusubiri yatakayojiri
cko akiba, niko vizur tu hayo unayoomba hayata ni pata coz hekima na busara zi juu yangu
 
Nina rafiki yangu anasoma pale mwaka wa 2 analalamika kufundishwa na vilecture uchwara vyenye degree moja tena vimemaliza 2 years back
ndo maana nmekwambia hujui na aliekwambia hayo c mkweli coz mtu mweny digrii 1 hawez akawa lecture ni tutorial asst so huwez ukawa umemaliz miaka miwil ukawa lecture wew na yey hamjielew
 
cko akiba, niko vizur tu hayo unayoomba hayata ni pata coz hekima na busara zi juu yangu

sijakuombea hayo, ila mtazamo wako unaonyesha ukipata bahati ya kuwa mmoja wa watoa maamuzi juu ya waajiriwa wapya katika sehemu yako unaweza kuwa mbaguzi fulani hivi.. ni mtazamo lakini
 
Hello jf members! Ni matumaini yangu mko safi kabisa na mchakato wa katiba. Maana hili ni jambo zuri na la maendeleo kwa watanzania 2liokuwa 2naonewa sana kwa miaka mingi. Napenda kutoa rai kwamba 2silale hadi kieleweke, naona maji yamewazidi kimo: kwa leo ningependa kuwahamisha kidogo maana jana kuna m2 aliweka post yake kwamba kwanin akiba commercial bank wanawapenda sana muccobs graduate? 1) tanzania vyuo vilivyotangulia kuanzishwa ni udsm na mwaka 1984 sua, so naamini kwa wakati huo hadi sasa ubora wa vyuo hv uko juu achana na vyuo vya kisiasa. Thats y 2navikubari na 2taendelea kuvikubali 2) muccobs ni branch ya Sua na kwa hiyo every thing come from Sua, so in this case ukichanganya kwamba chuo hichi kilikuwa cooperative college tangu miaka ya 1960 so they know what organiztn needs , when they need, how to produce , etc, so in dis case help them 2 produce acceptable people. Hata ukiwachunguza hawa wa2 ni wachache na wana uwezo kama watu waliotoka sua. Nawakilisha

Nadhani, ni vyema kabisa tunapochangia kuangalia matumizi ya lugha, la sivyo uchangiaji utakosa maana kabisa!! Kwa nini uandike lugha inayochanganya?? Je, unamaana gani?? Ukiaandika Kiswahili, andika Kiswahili, km unaandika Kiingereza andika Kiingereza!! Tuache mara moja kulete utani wa kijinga!!

Mchango wangu: Ubora wa elimu katika chuo upo katika mitaala yake!! Kuna vyuo hapa TZ ni mzigo kabisa, hata wahitimu wake wanapata shida sana kuajiriwa!! Sina hakika sana km Akiba commercial bank wanapendelea zaidi Muccobs!! Mabenki mengi, wahitimu wanaopata kazi kirahisi sana ni IFM, Mzumbe University kwani wapo kifani zaidi na wamepikwa haswa!! Siyo watu wa madesa sana!! Hatari ipo CBE, TIA hao hakuna kitu!! Labda DSA ya zamani, walikuwa bomba sana, walipikika haswa, ila TIA ya sasa ni usanii mtupu!! Hakuna kitu!!
 
Back
Top Bottom