Habari zenu wana JF!!
Ni wiki 2 sasa zimepita baada ya kutokea kisa kitaani kwetu kilichokuwa kama movie flani hivi lakini ni cha kweli. Jamaa wa kitaani kwetu aliamua KUOA na kufuata taratibu zote; KUCHUMBIA,KUTOA MAHARI, SEND OFF na mwisho HARUSI iliyofaana sana.
Baada ya harusi MUME an MKE wakaenda HONEY MOON ili kukamilisha ndoa kwa lile tendo lenyewe lakini Bi HARUSI akagoma sababu alikuwa amechoka sana na mishe za Harusi toka asubuhi, Bw Harusi akawa mwelewa coz anajua mali ni ya kwake siku zote na kuvumilia hadi asbh.
Kumekucha Bi. Harusi akaenda kuoga then Bw. Harusi akafuatia kwenda bafuni, alipotoka kuoga akamkuta mkewe keshavaa na kupendeza. Akamwambia mumewe kuwa anaenda hapo supermarket kuchukua Dawa ya meno ndo HAKURUDI TENA.
Baada ya uchunguzi wa Usalama wa Taifa na police wakaenda kumpata Tabora na huyo mchumba mpya aliyemtorosha na kumuoa badala ya MUME wa ndoa!!! hivi sasa wamekamatwa na Police inasubiliwa Bw.Harusi aamue nini cha kufanya!!
Ingekuwa wewe ungeamua nini????!!!!! Toa maoni. Ahsanteni mimi nilikuwa best man kwenye SEND_OFF nmeombwa ushauri.
Du!! Hekaya za Abunuasi!! Katika send off tunakuwa na best mana ama Matron?? Naona kinyaa kuchangia kwani uongo huo hauna mashiko katu!!
Muona Erick akupe angalizo katika utunzi wa hadithi!!
Jamani nimewahi kusikia watu mkioana msipofanya lile tendo bado kisheria hamuhesabiwi kama mume na mke ni kama kaka na dada 2,kwa hyo mkaka aachane nae pengne Mungu kamuepushia maradhi na ndoa ya karaha,
Habari zenu wana JF!!
Ni wiki 2 sasa zimepita baada ya kutokea kisa kitaani kwetu kilichokuwa kama movie flani hivi lakini ni cha kweli. Jamaa wa kitaani kwetu aliamua KUOA na kufuata taratibu zote; KUCHUMBIA,KUTOA MAHARI, SEND OFF na mwisho HARUSI iliyofaana sana.
Baada ya harusi MUME an MKE wakaenda HONEY MOON ili kukamilisha ndoa kwa lile tendo lenyewe lakini Bi HARUSI akagoma sababu alikuwa amechoka sana na mishe za Harusi toka asubuhi, Bw Harusi akawa mwelewa coz anajua mali ni ya kwake siku zote na kuvumilia hadi asbh.
Kumekucha Bi. Harusi akaenda kuoga then Bw. Harusi akafuatia kwenda bafuni, alipotoka kuoga akamkuta mkewe keshavaa na kupendeza. Akamwambia mumewe kuwa anaenda hapo supermarket kuchukua Dawa ya meno ndo HAKURUDI TENA.
Baada ya uchunguzi wa Usalama wa Taifa na police wakaenda kumpata Tabora na huyo mchumba mpya aliyemtorosha na kumuoa badala ya MUME wa ndoa!!! hivi sasa wamekamatwa na Police inasubiliwa Bw.Harusi aamue nini cha kufanya!!
Ingekuwa wewe ungeamua nini????!!!!! Toa maoni. Ahsanteni mimi nilikuwa best man kwenye SEND_OFF nmeombwa ushauri.
Correction: Ni wa kanisa la EAGT..I know the girl toka
mdogo, hakilazimishwa kabisa.
Best man yupo kwaajil ya kumsindikiza bwana harusi mtarajiwa.Du!! Hekaya za Abunuasi!! Katika send off tunakuwa na best mana ama Matron?? Naona kinyaa kuchangia kwani uongo huo hauna mashiko katu!!
Muona Erick akupe angalizo katika utunzi wa hadithi!!
Habari zenu wana JF!!
Baada ya uchunguzi wa Usalama wa Taifa na police wakaenda kumpata Tabora na huyo mchumba mpya aliyemtorosha na kumuoa badala ya MUME wa ndoa!!! hivi sasa wamekamatwa na Police inasubiliwa Bw.Harusi aamue nini cha kufanya!!
Wakuu JF heshima mbele! Hii kitu ni kweli imetokea kama inavyoelezwa na mwanzishaji wa hii thread. Tukio lote lilifanyika mitaa ya MWIKA - Sinza Makaburini. Hapo ndo ilifanyika Reception na Honeymoon ilikuwa kwenye hotel hiyohiyo. Ni kweli pia UwT na Polisi wetu wamehusika sana kumsaidia muoaji halali ktk kutafiti yuko wapi kipenzi chake aliyetoroka. Matokeo ya uchunguzi wao haswa hizo sms na mawasiliano ya simu ndo yalibaini kuwa binti kakimbilia mkoa wa Tabora. Jitihada zikafanyika akafuatiliwa mpaka huko na kilichoendelea ni kumkuta Binti akijivinjari kwa honeymoon nyingine na jamaa mwingine kabisa. Ila kilichoonekana ni kana kwamba yalikuwapo mahusiano ya muda mrefu kabla baina ya huyu jamaa wa Tabora na binti. Japo pia huyu mume wa cheti nae alkuwa kampenda sana huyo binti, asijue kuwa moyo wa binti haukuwa kwake. Yaliyotokea ndo hayo. Hali ni tete kwa wahusika wote watatu pia hata familia zao maana binti kachafua sana hali ya hewa! Pole nyingi kwa Bwana arusi wa cheti!
Hapa kuna mazingira ya binti kulazimishwa kuolewa na huyu jamaa wa cheti....
Kitu ninachohisi huyu bwana wa cheti ni mlokole na binti alizuga ulokole kumridhisha baba yake (kwa mchungaji watoto kuwa walokole sio hiyari yao). Na kwa sabaubu binti ni 'mlokole', basi ni dhahiri 'alipaswa' kuolewa na mlokole mwenzie....kwa matakwa ya baba....
Binti akakubaliana na baba yake (aliogopa kumuudhi baba mchungaji), akakubali mchakato wa kuolewa ila akiwaza cha kufanya mbele ya safari......Then her lover (ambaye sio mlokole) offered her an escape.....Tabora!
** Kilichosababisha haya: Huwezi kuoa mtoto wa mchungaji kama sio mlokole