Recent content by mtuwawatu

  1. mtuwawatu

    Natafuta hotel nzuri ambayo wanapiga mziki wa taratibu.na pawe pametulia

    njoo getho kwangu, nina cd zote za taarabu unazozitaka
  2. mtuwawatu

    Mahakama ya kisutu imeungua

    nimeona hapa Daily News | The leading Online news edition in Tanzania Pitia hapa kwa info zaidi si haba kuna kitu
  3. mtuwawatu

    Mama wa Kambo, tujadiliane hili!

    Hakuna wimbo uliokuwa unanitia hasira kama huu wa vijana jazz YouTube - Orchestra Vijana Jazz - Mama Wa Kambo
  4. mtuwawatu

    Mama wa Kambo, tujadiliane hili!

    Thanks hashycool , Ni rahisi sana kuachana au mtu, au kusema unataka kuzaa na mtu kirahirahisi tuu, lakini mateso wanayopata watoto ni makubwa. Nawaomba wakina mama na kinadada msikubali kumwachia mwanaume watoto, kama ni shida vumilia mlee mwanao, mama wakambo ni nyoka, akusimulie mtuu tu.
  5. mtuwawatu

    Mama wa Kambo, tujadiliane hili!

    mimi ni mmoja wa watu waliopata mateso sana na mama wa kambo, kwa sasa ni mtu mzima, kila huwa nikikumbuka huwa siwezi kufanya kazi siku hiyo, pamoja na utu uzima machozi hayaishi. Mateso sio kwenye kipigo, bado masimango, ubaguzi, kulazwa njaa etc. kwa ujumla mama wa kambo ni wakatili sana...
  6. mtuwawatu

    Wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?

    Ila kwa utamaduni wa kihindi inaonesha mwanamke aliyeolewa
  7. mtuwawatu

    Siwenzi ku-launch Internet Explorer

    1.Open mydocuments, or my computer, 2.On the address bar type any web address, like Yahoo! 3.Then you will launch IE browser if it was your default browser, 4.From there go and download any browser, like mozila, or Google Crome, 5.Once you have them installed in your PC. you go to microsoft...
  8. mtuwawatu

    Mbunge CCM akataliwa...

    may be kinyambo
  9. mtuwawatu

    Mambo tuliyodanganywa utotoni

    ukinya njiani utashindwa kuwasha moto
  10. mtuwawatu

    Mambo tuliyodanganywa utotoni

    1.Ukipigwa na mwiko haoui au kuolewa. 2.Ukiona kimondo kimeangukia upande fulani huko ndiko utakakooa.
  11. mtuwawatu

    Mbona chuki zinazidi ?

    Wana JF, nimekuta hii habari kwenye hii site si vibaya kujadili Zanzibar, wahamiaji na makanisa Zanzibar, wahamiaji na makanisa Assalamu alykum. Nduguzanguni hebu tutafakarini masuala haya kwa makini. Vipi watu hawa wanapata ardhi wakati ardhi yote ni ya waislamu? Makanisa yanatumika...
  12. mtuwawatu

    Nyimbo za Krismasi

    unaweza kusikiliza hapa CBN Radio Player - Christmas
  13. mtuwawatu

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    yale yale, hamna jipya
  14. mtuwawatu

    Wazee wa Igunga waja juu kuhusu Rostam

    Mimi nashindwa kuelewa, kama watu wamechukizwa na maamuzi ya chama kwanini wanakingangania, hawa pia ndio sababu kubwa ya kutokuwa na mabadiloko, nchii
  15. mtuwawatu

    Aibu ya Udom hii hapa!!!

    Kumbe hizi sifa tunazisikia ni fiksi tupu, uchakachaji mpaka plans, kweli tz imeisha
Back
Top Bottom