Wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?

Maega

Senior Member
Jul 10, 2010
156
30
Hivi karibumni katika pita pita zangu nimekutana na hichi kitu mara nyingi sana kwa wadada lakn nashindwa kuelewa kina maanisha nn.Hv wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?
 
Hivi karibumni katika pita pita zangu nimekutana na hichi kitu mara nyingi sana kwa wadada lakn nashindwa kuelewa kina maanisha nn.Hv wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?

Hata mimi nina swali kama hilo nimemuona demu wangu siku za hivi karibuni lakini sijamuuliza nini maana yake mtu atufafanulie jamani
 
urembo tu huo jamani,hata mimi navaa hivyo lkn haimaanishi kitu.
ila mlivyo wabishi najua hamtakubali hadi mtunge maana,na lazima najua mtasema inalink na tigo!
 
Hivi karibumni katika pita pita zangu nimekutana na hichi kitu mara nyingi sana kwa wadada lakn nashindwa kuelewa kina maanisha nn.Hv wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?

mkuu sidhani kama ina maana zaidi ya urembo......
 
QUOTE=cheusimangala:urembo tu huo jamani,hata mimi navaa hivyo lkn haimaanishi kitu.
ila mlivyo wabishi najua hamtakubali hadi mtunge maana,na lazima najua mtasema inalink na tigo!

Mmmh!! No comment hapo.
 
kwani 'umebwatuka" wapi luv? mi sijapaona, u have spokeni ur mind which is ur right!

aah mie nimeona nimuombe tu mheshimiwa samahani coz ningemuuliza labda ningezidi kumuudhi na mie sitaki kumkwaza mtu!
acha nikacheck zangu movie,see u kesho Mungu akipenda!
 
hebu fafanua hapa plzzzz.

kwa muonekano wao wa nje huwa wanaonekana ni watu micharuko, wenye dharau na majigambo. Wapo ambao ni micharuko kweli lakini wengi wao wapo poa tu na ni wacheshi sana. Mi pia napenda sana hiyo kitu ila naogopa.
 
Ni katika kutafuta urembo wa aina mpya tu, haina maana

Kuvaa pete kila siku kwenye kidole hicho hicho inachosha ati
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom